Watanzania tuwe serious misibani

Watanzania tuwe serious misibani

Umetisha sana hata mimi ilo zoezi la kula wali kwa mkono limenishida kabisa mara nyingi ninaomba kijiko ikishindikana sishiriki kula wakati huo...
Me huwa walikuwa wananishangaa Sana naombaga kijiko , Kama hamna siwezi kula chakula chenye mchuzi na mkono mkono nitakula labda nyama kavu za kukaangwa kuchomwa nk Ila sio vyakula vingne
 
Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani

Hivi ndio nini sasa hii
Mkuu bila picha tukueleweje...???
Tukisema ni chuki binafsi....ila....umbea na nongwa tutakua tumekukosea.....๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Kila mtu ashinde mechi zakeee...

Mbona me nabeba kiporo changu cha wali maharagwe kazini na chai yangu swaaafi kabisa
 
Unashangaa jamaa kuja na parachichi msibani mbona kawaida sana kuna watu wanakuja na pakiti za kondomu mfukoni huko misibani wanawaza kunyanduana na wake/mabinti za watu kiulaini mid night.

Dunia ina mengi sana))
 
Back
Top Bottom