Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Wala siyo suala la uboya.Umeamua kunitembezea vitasa.. namimi sjakurudishia.. haya hapo nani boya
Ni suala la kuheshimiana tu mkuu na kuwekana sawa...๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala siyo suala la uboya.Umeamua kunitembezea vitasa.. namimi sjakurudishia.. haya hapo nani boya
Hao nao wanaona nasogezewa vikombe wanashangilia badala ya kuniamua..Wala siyo suala la uboya.
Ni suala la kuheshimiana tu mkuu na kuwekana sawa...๐๐๐
Umetisha sana hata mimi ilo zoezi la kula wali kwa mkono limenishida kabisa mara nyingi ninaomba kijiko ikishindikana sishiriki kula wakati huo...Yuko sahihi..binafsi huwa Nina kijiko changu Toka form 1 huwa natembea nacho kila mahala siwezi kulaga pilau \wali na mkono
Me huwa walikuwa wananishangaa Sana naombaga kijiko , Kama hamna siwezi kula chakula chenye mchuzi na mkono mkono nitakula labda nyama kavu za kukaangwa kuchomwa nk Ila sio vyakula vingneUmetisha sana hata mimi ilo zoezi la kula wali kwa mkono limenishida kabisa mara nyingi ninaomba kijiko ikishindikana sishiriki kula wakati huo...
Mkuu bila picha tukueleweje...???Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani
Hivi ndio nini sasa hii
Na kijikoKila mtu anajua kuwa msibani kuna msosi. Ni kujitoa akili tu kuamua kutofanya maandalizi ujuwe..!! ANgebeba na pilipili
Kuna maji ya kunawa..!!Na kijiko
Kwa tusioweza kula na mikono tunabeba vijikoKuna maji ya kunawa..!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃKama msibani watu wanashona sare kwanini asifanye maandalizi ya chakula na yeye