Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wapo kuhangaika na kauli ya spinning doctor makonda.
Wapo bize kutaka kuwafahamu hao mawaziri
Hawakumbuki chozi la mwanae sokoine alipo kuwa akisoma historia. Hawataki kujua limebeba ujumbe gani?
Kwa hili igizo la makonda limeondoa maana yote ya siku ya kumbukizi marehemu sokoine.
Na kwa jinsi hii hii yapo mambo ya msingi ya kujadili kama mafuriko rufiji na namna ya kusaidia watu huko ila watu wamegeuzia macho na masikio yao kwa MAKONDA.