Watanzania waandamana kwa hasira za kutamaushwa na mabasi ya mwendo kasi

M
Mkuu hii ni moja wapo wa project ya OVYO kabisa kuwahi kutokea katika Tanzania..
Mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi ni wa ovyo..ovyo..ovyo kabisa..
Wananchi anakaa kituoni 1hr+ bila kupata usafiri halafu kuna wale wapuuzi ambao kazi yao ni kusifia sifia kila upumbavu wa serikali ya CCM na waje kwenye huu uzi..
Serikali ikubali imeshindwa irudishe daladala za kawaida.
 
Msemakweli huyo.
 
Hata Nyumbu wakitoka Masai Mara kwenda Serengeti huwa wanaandamana.
 
Geza Ulole - you're a fan of white elephants. You love Proclaiming projects as white elephants even before they become one. Why are you so dilly dallying on this?
 

Habari bila picha/videoclip ni takataka tu
 
Kazi Nzuri sana..Inaonekana BRT ya Dar iko na ushabiki mwingi sana bahati ni kwamba WB imetoa pesa ya ujenzi na upanuzi wa BRT. Usipoona customer complaints kwa biashara ujue hapo hakuna kazi unayo fanya. JPM Chapa Kazi
Jaluo bana. Mna mbwembwe kweli... unajiita mkikuyu wakati wewe ni jaluo kabisa unaonekana hata kwa maandishi na matamshi yako!!!!
 
Negative Effects of Floods, wakati Serikali iliambiwa na hakina Mnyika kuwa pale Jangwani apafai kuwa karakana ya mradi huo, serikali na mibunge yenu ya CCM ikapinga ushauri wa Mnyika kisa ni mbunge wa upinzani!!?, acheni mambo ya kiuni.
Hakina Mnyika,
Mambo ya Kiuni.
Jifunze Kiswahili kwanza mdogo wangu, halafu urudi ukiwa na weledi na ujuvi na ubobezi wa mambo, utaweza kujadili mada zenye mashiko kinaga ubaga.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haki wewe!, hebu mtuache na maisha yetu ya "AMANI" [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hmm we hata upewe nn utasema cha hovyo, hujui hata traffic load dar zipoje, kuna muda watu wanakuwa wengi na kuna muda hamna watu kabisa, so sio failure bali miundombinu na ruti bado haziwezi kukidhi traffic flooding, ila mradi mzuri mi unanisaidia badala ya kutumia lisaa gerezani hadi kimara natumia dk 40 max na sikai foleni, so inanisaidia, usiwe nyumbu kupondaponda kila kitu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haki wewe!, hebu mtuache na maisha yetu ya "AMANI" [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha. πŸ˜€ Natania tu jirani, lakini umeapprove hiyo style ya maandamano ya 'amani'? [emoji38][emoji38] Ni yangu nataka niifanyie copyright!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…