Watanzania waandamana kwa hasira za kutamaushwa na mabasi ya mwendo kasi

Ukweli lazima usemwe ili tatizo lishughulikiwe.

BRT inaanza kuwa mradi ulio-fail.
Hali mbaya sana tena sana.

Kuna tatizo la msingi serikali ichunguze.
Kwa jinsi nilivy
 
Maoni ya mtaalamu haya, ntayatilia maanani. Hapa tuna idea moja babkubwa. Nalendwa, we seriously really need to collabo on this. 🙂

My bad Jirani sorry..
Was working on the seal of approval to the collabo. It's On. Sign me up! 🙂
 
"In due course, dozens of buses were removed from operation as they developed mechanical problems caused by mainly, flooding of UDART workshop which is located at flood-prone area of Jangwani."

Hivi hawa 'wenye nchi' walioweka workshop ya UDART Jangwani, sio ndo hawa hawa huvunja nyumba za watu sehemu kama hiyo kutokana na Floods?
Halafu wanatoka hapo wanaenda ku store hizi buses hapo hapo, wakijua kuwa that's a low-lying area vulnerable to F.l.o.o.d.i.n.g!

Sasa watu wanapata shida, na hasara inaingia.

Haki ya Manani, Akili nyengine!
 
Pale kilifanyika kitu cha ajabu kupita maelezo.
Ni afadhali wange bomoa machinga complex mradi usiofanya vizuri na kupeleka pale garage ya mabasi ya BRT.

Sababu hata machinga wenyewe sasa wameruhusiwa kufanya biashara sehemu yoyote.

Au uwanja wa Karume ungebadilishwa na kuwa garage ya BRT kwa vile pale tena sio uwanja wa michezo ulio ktk makazi ya watu.
Kama viwanja vya michezo watoto wangeenda kule Kidongo Chekundu kwenye mradi wa kituo cha michezo cha watoto. Sio mbali kutoka Karume kwenda Kidongo Chekundu.
 
Ukweli lazima usemwe ili tatizo lishughulikiwe.

BRT inaanza kuwa mradi ulio-fail.
Hali mbaya sana tena sana.

Kuna tatizo la msingi serikali ichunguze.
Kwa jinsi nilivy

Mkuu kumbuka pia the project is only 2 yrs old, with tsh 340 billion, in the making.
Halafu sasa about 1/3 of service is Out!..

Pale kilifanyika kitu cha ajabu kupita maelezo.
Ni afadhali wange bomoa machinga complex mradi usiofanya vizuri na kupeleka pale garage ya mabasi ya BRT.

Sababu hata machinga wenyewe sasa wameruhusiwa kufanya biashara sehemu yoyote.

Au uwanja wa Karume ungebadilishwa na kuwa garage ya BRT kwa vile pale tena sio uwanja wa michezo ulio ktk makazi ya watu.
Kama viwanja vya michezo watoto wangeenda kule Kidongo Chekundu kwenye mradi wa kituo cha michezo cha watoto. Sio mbali kutoka Karume kwenda Kidongo Chekundu.

Tena Karume ni another open space, halafu distance from there na Jangwani sio kubwa hivyo so the changes will be small, na pia sio mbali kihivyo na city center. It's reasonable
 
Mkuu kumbuka pia the project is only 2 yrs old, with tsh 340 billion, in the making.
Halafu sasa about 1/3 of service it Out!..

Tena Karume ni another open space, halafu distance from there na Jangwani sio kubwa hivyo so the changes will be small, na pia sio mbali kihivyo na city center. It's reasonable
Karume ni karibu zaidi kutoka Gerezani BRT Terminal.
Just few hundred metres from the Gerezani terminal and it's straight forward from there. The place is within vicinity from Gerezani Terminal.
 
I wish waone hii! 🙂
 
Back
Top Bottom