Kura yangu na familia yangu sasa itaenda ChademaAngalau sasa wale wasioipenda CCM watakuwa tayari kupiga kura kwenye chaguzi zijazo.
Kajifungia chooni Lumumba akibubujikwa na machozi.Nakala kwa mwashambwa
Sijui nini nimeisoma hii kwa sauti ya handsome squidward π2025 mama hatoboi labda wafosi bao la mkono.
2025 huu mwaka labda!Wakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.
Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Mtoto wa mjini yule wewe, hata senti hairudi. Atawaambia, "nilifanya kila kitu" lakini matokeo ndio hayo.Sasa ni muda wa Mbowe kurudisha hela za mama abdul
Wakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.
Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
No signature,Sasa ni muda wa Mbowe kurudisha hela za mama abdul
Hajapenda kububujikwa ππ