Pre GE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Paschal atamaliza kila kitu kupitia kumjua TAL ndani Nje
 
Chichiieem Hoyeee😂😂😂well done chadema Niko hapa Mwanza Airport najiandaa kuruka niingie Mjini naona abiria Wenzangu na Marubani wanashangilia Ushindi huu mzito
 
Wakuu,

Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.

Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.

Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.

Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
2025 huu mwaka labda!

Aliyepigwa risasi uko USA ikampiga kwenye sikio sasa ndiye Rais wa USA.

GOD BLESS TANGANYIKA
 
Wakuu,

Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.

Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.

Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.

Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?

Hili limewaliza sana,
Hili limewaliza sana,
Repeat Chorus
 
Back
Top Bottom