🤣🤣🤣Sasa ni muda wa Mbowe kurudisha hela za mama abdul
Nimekulipia fuso la SavannahWakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.
Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Lucas Mwashambwa ameshikwa na tumbo la kuhara anabubujikwa na uharo mfululizo.
Kiendacho kwa mganga hakirudi kama ilivyokuwa kwa Ibenge ile $500,000 ya GSM ndiyo kama vile.Sasa ni muda wa Mbowe kurudisha hela za mama abdul
NyenyereSalamu ya kwanza iwafikie chama cha form moja, ya pili natuma kwa machawa wakina Ntobi na Nyenyere nawaambia kura za mitandaoni ndio hizo hizo za uraiani, ya tatu na ya mwisho ifike kwa machawa wa Lumumba wote jamvini. Ujumbe ni #people's power
#stronger together
Na Lucas Mwashambwa Dodoma TanzaniaWakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.
Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Aende upinzani😇, Tanganyika Packers Kawe, itakuwa ni open space au itajengwa Chuo cha VETAWakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%