Pre GE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye mitandao na hata Benk kunyonyolewa kimya kimya kumezidi mh Lisu hapana shaka ni tumaini LA wengi
 
Wakuu,

Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.

Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.

Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.

Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Nimekulipia fuso la Savannah
 
Salamu ya kwanza iwafikie chama cha form moja, ya pili natuma kwa machawa wakina Ntobi na Nyenyere nawaambia kura za mitandaoni ndio hizo hizo za uraiani, ya tatu na ya mwisho ifike kwa machawa wa Lumumba wote jamvini. Ujumbe ni #people's power
#stronger together
Nyenyere
 
Wakuu,

Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.

Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.

Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.

Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Na Lucas Mwashambwa Dodoma Tanzania
 
Hatuwezi kuwa na Taifa la walamba asali. Ni aibu sana kwa Tanzania kufikia hatua tuliyonayo sasa. Tumaini pekee ni upinzani imara chini ya TAL
 
Wakuu,

Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.

Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.

Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.

Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?
Aende upinzani😇, Tanganyika Packers Kawe, itakuwa ni open space au itajengwa Chuo cha VETA
 
Back
Top Bottom