Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake.
Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe tu kwa ushindi huu mnono wa Lissu.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Mungu pia amebariki ushindi huu kwa kuangusha mvua tukuka kama anvyosemaga GENTAMYCINE kusafisha vumbi la Mbowe na kuanzisha safari ya mabadiliko ya Lissu.
Kutokana na ushindi huu wa Lissu, imani ya watanzania kwa upinzani itarejea? Uchawa utapungua na kuanza kupata siasa zenye kujenga na kuleta maendeleo?