David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kweli nimeamini kuwa mchawi sio lazima uruke na ungo usikuSio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
watu wanatekwa ww unaona sw , watu wanauliwa ww unaona sawa , ndio maana nasema kuanzia Gada hadi wengine vifo vyao chanzo ni sisi wenyew , watu weusi hatupendan hlf tunapenda kuhamisha magoliWapo huko clabu hausi wanahamasisha migomo na maandamano usiku kucha sijui hata kazi wanafanya saa ngapi?
Kwahio kama hawana faida wakija nyumbani sindio watakuwa mizigo kabisa?Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Huna akiliWanaungana na ndugu zao kutimua vumbi
Ukimuambia aingie online kuchungulia process ya kuomba visa anaona uvivu.Lione hili, kwanini usingetoka wewe ukawapa connection na kuwashika mkono ndugu zako? Hovyo kabisa!
Hivi kuna kigogo chenye akiliHuna akili
Wivu ni ugonjwa mbaya sana.Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Mrudi Tz , hata huku kuna kazi za usafi, kusafisha mitaro ya maji taka na kutunza wazee na kuwaogesha. Huko Marekani wabaki wenye issue za MaanaRoho koroshooo......
Huo ni wivu na uchawiSerikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Mtawalipa sh ngapi?Mrudi Tz , hata huku kuna kazi za usafi, kusafisha mitaro ya maji taka na kutunza wazee na kuwaogesha. Huko Marekani wabaki wenye issue za Maana
Mkuu,Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.
Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.
Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.
Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Kwani zinatakiwa wapeleke wapi mkuu?Watanzania wenyewe huko ng'ambo kila wakipata pesa zinaishia disco, casino na kwenye mapaja ya mademu
Wawe na faida Kwa Taifa? Nyie mliopo mna faida Gani Kwa Taifa?Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Elimu x3 probably…Huo ni wivu na uchawi
Wamekosa Nini?.
Unafikiri Trump anarudishwa Kila mtu?
Au unafikiri Kila mtu ni illegal migrants?
Huyu roho mbaya na wivu vinamsumbiaMkuu,
Unapenda kuona Watanzania wanarudishwa mpaka wakiwa hawarudishwi unauliza kwa nini hawarudishwi?
Watu wengi wana visa halali, wengine wamechukua green cards na mpaka uraia wanaishi kisheria ndiyo maana unaona hawarudishwi.
Na kama hawana visa halali au uraia basi hawajafikiwa tu.
Anawanga mchana kweupee?Huyu roho mbaya na wivu vinamsumbia