David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Kweli nimeamini kuwa mchawi sio lazima uruke na ungo usikuSio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.
NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.
NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO