Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Kweli nimeamini kuwa mchawi sio lazima uruke na ungo usiku
 
Wapo huko clabu hausi wanahamasisha migomo na maandamano usiku kucha sijui hata kazi wanafanya saa ngapi?
watu wanatekwa ww unaona sw , watu wanauliwa ww unaona sawa , ndio maana nasema kuanzia Gada hadi wengine vifo vyao chanzo ni sisi wenyew , watu weusi hatupendan hlf tunapenda kuhamisha magoli
 
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MMONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Kwahio kama hawana faida wakija nyumbani sindio watakuwa mizigo kabisa?
 
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.

Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.

Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.

Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Wivu ni ugonjwa mbaya sana.
Hao Mexico wakubali kupokea raia wao sasa wanawakataaje wakati ni raia wao
 
Roho koroshooo......
Mrudi Tz , hata huku kuna kazi za usafi, kusafisha mitaro ya maji taka na kutunza wazee na kuwaogesha. Huko Marekani wabaki wenye issue za Maana
 
Watanzania wenyewe huko ng'ambo kila wakipata pesa zinaishia disco, casino na kwenye mapaja ya mademu
 
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.

Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.

Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.

Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Huo ni wivu na uchawi
Wamekosa Nini?.
Unafikiri Trump anarudishwa Kila mtu?

Au unafikiri Kila mtu ni illegal migrants?
 
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu ya kuongeza vipaji nchini mwao.

Kwa upande wa Brazili hapo juzi pia imetoa lawama kali kwa serikali ya Marekani kupitia waziri wake wa mambo ya nje kufuatia abiria 88 kuingizwa nchini humo kinyemela wakiwa na pingu mikononi.

Vyovyote vile itakavyokuwa kwa upande wangu ningependa kujua Watanzania waishio Marekani je, hawana sifa kama hizo kwa utawala wa Donald Trump.

Kwa maneno mengine jee watanzania hao wana sifa gani za kuendelea kubaki Marekani na kukwepa kurudishwa nyumbani kama wenzao wa Marekani ya kusini
Mkuu,

Unapenda kuona Watanzania wanarudishwa mpaka wakiwa hawarudishwi unauliza kwa nini hawarudishwi?

Watu wengi wana visa halali, wengine wamechukua green cards na mpaka uraia wanaishi kisheria ndiyo maana unaona hawarudishwi.

Mfano mimi nimechukua uraia miaka mingi, nafanya kazi, nalipa kodi, sina tatizo lolote na sheria za nchi, ninachangia uzalishaji vizuri, nina biadhara zangu zinajulikana, sasa Trump atanirudisha wapi na mimi nishatia nanga hapa na kesi ya kunivua uraia hana?

Na kuna wengine wengi kama mimi, na hata hao ambao hawana visa halali au uraia, kama haeana kesi au hawapi katika raid, kufikiwa na Trump si rahisi.
 
Sio Roho Mbaya. Watanzania wengi sana wanaokwenda Ulaya na Marekani iwe kihalali au kimchongo huwa hawana faida kwa Taifa wala ndugu zao. Hawajali wala kukumbuka kwao na hawatoi connection kwa wenzao.(ubinafsi, Roho Mbaya na kukosa uzalendo). Mkenya akitoka na kufanikiwa lazima awekeze kwao, mkenya akitoka lazima avute wenzake wa kutosha tu.

NAUNGA MKONO WABONGO WARUDISHWE MAANA HAWANA FAIDA HATA KWA FAMILIA NA JAMAA ZAO.

NAJUA NA WEWE NI MMOJA WAO
Wawe na faida Kwa Taifa? Nyie mliopo mna faida Gani Kwa Taifa?
Yaani kwenye Taifa lipi Kwa mfano unakopeleka Hela zimaisha bila maelezo?..
Kw ndugu na familia hayatuhusu Kila family ina utaratibu wake
 
Mkuu,

Unapenda kuona Watanzania wanarudishwa mpaka wakiwa hawarudishwi unauliza kwa nini hawarudishwi?

Watu wengi wana visa halali, wengine wamechukua green cards na mpaka uraia wanaishi kisheria ndiyo maana unaona hawarudishwi.

Na kama hawana visa halali au uraia basi hawajafikiwa tu.
Huyu roho mbaya na wivu vinamsumbia
 
Back
Top Bottom