Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania

SnapInsta.to_566693646_18538599601054954_7029631173791420606_n.jpg

SnapInsta.to_567726370_18538599598054954_6457116294607524853_n.jpg

SnapInsta.to_565888514_18538599595054954_6954881229730486901_n.jpg
 
Jiridhishe kama wa kutokea Mexico wapo kwenye hesabu
Sitoki kwenye reli na hao wameksiko unaong'ang'ania
Nasema kuna watanzania wengi sana huko US, sasa iweje wawepo wa 4 tu.....?
 
Hawana makaratasi ya kuishi huko baadhi yao, watashikwa kama wakitembea ovyo.
Dogo husikariri kwamba kila mtu hana karatasi ughaibuni... Marekani sio Afrika Kusini unazamia tu kama mbuzi, wewe tangu usikie watu wanakamatwa kwa kutokuwa na vibali umesikia Watanzania wangapi wamekamatwa
 
Sitoki kwenye reli na hao wameksiko unaong'ang'ania
Nasema kuna watanzania wengi sana huko US, sasa iweje wawepo wa 4 tu.....?
US ni kubwa, hapo ni Washington DC, na Tanzania haina DIASPORA wengi Marekani na ndio maana hata wasanii wetu wakifika huko hawapati show labda waunge unge na raia wa nchi nyingine kama Wakenya, waganda, Makongo, warundi, wanyarwanda. Wabongo ni wachache sana Uzunguni...
 
Dogo husikariri kwamba kila mtu hana karatasi ughaibuni... Marekani sio Afrika Kusini unazamia tu kama mbuzi, wewe tangu usikie watu wanakamatwa kwa kutokuwa na vibali umesikia Watanzania wangapi wamekamatwa
Nakubalina nae, inaweza kuwa wengi mno huko hawana karatasi, sababu US ni rahisi sana kuishi bila kibali, wewe huna passpoti na wala hujawahi kufika hata Burundi hapo, usikariri habari za kwenye TV

Angalia hawa wahamiaji haramu US, mmoja alikuwa Mwalimu Mkuu wa Shule, na Huyu alikuwa Police, wote wamedakwa, sasa mpaka kufikia kuwa na vyeo hivyo maana yake wangapi wako huko bila sheria...

Nimekwambia niletee habari ya Mtanzania aliyekamatwa hana Vibali huko Marekani... wewe unaniletea habari za Raia wa Jamaica na Guyana.... Nimeshakwambia Tanzania ina Diaspora wachache sana huko Marekani ukilinganisha na nchi kama Kenya au Nigeria, pili watanzania wengi ni wapole sana ugenini na hawajichanganyi kama wanaijeria, na mpaka unaona hao wanaandamana ujue wana vibali, tatu Marekani ni kubwa zaidi ya Tanzania mara 4, watanzania hawakai sehemu moja, wametawanyika na kusafiri mpaka mkusanyike inaweza kuchukua masaa mengi kukutana wote
 
Usipayuke kama uko kijiweni....

Sitoki kwenye reli na hao wameksiko unaong'ang'ania
Nasema kuna watanzania wengi sana huko US, sasa iweje wawepo wa 4 tu.....?

Wanaandamana kupinga utekwaji kwani wewe humo kwenye reli ulimoganda una maslahi nao?
 
Back
Top Bottom