Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

Watanzania Waishio Marekani Waandamana Kupinga Utekaji Nchini Tanzania

Naona polisiemu wanajiandaa kumlusha Mafwele akashughulikie uchafuzi haraka iwezekanavyo, ngoja niendelee kutazama nione mwisho wake.
 
Kusafiri kutoka LA kwenda DC ni sawa na safari ya Nigeria kwenda Dar. 😃

Sasa hapo kwakweli hata kama ni kuandamana ni wachache wanaweza kufanya hizo trip.
 
Back
Top Bottom