pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Alikuwa amejificha huko juu kabisa kwenye hema. [emoji38][emoji38][emoji38]Hakuwa abiria, okay alikuwa nani? How come akawepo kwenye gari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa amejificha huko juu kabisa kwenye hema. [emoji38][emoji38][emoji38]Hakuwa abiria, okay alikuwa nani? How come akawepo kwenye gari?
Tafuta mtu akutafsirie Kingereza maana imeelezwa vizuri tu kwenye taarifa.
Alikuwa amejificha huko juu kabisa kwenye hema. [emoji38][emoji38][emoji38]
Mrembo mbona una hasira hivi?Wakenya kwasasa Niwakupuuza tudili na Yetu
hovyo sana hao
The suspects are a driver of the truck and his turnboy, both identified as Tanzanian, and a person who presented himself at the station with a mining permit and claiming to be the owner of the detonators.
“Upon being interviewed, the driver claimed the detonators were handed over to him at Taveta town to be delivered to the owner at Mwatate,” KRA said in the statement.
Mimi kingereza changu kibovu mkuu, sina lugha ya kitumwa ni mwafrika halisi na huru. Hebu niambie utaifa wa huyo jamaa aliejipeleka hapo station ku-claim kuwa huo mzigo wa vilipuzi ni wa kwake?
Sasa kama unajua hukusoma kingereza, ulikua kilaza darasani acha kung'ang'ania dhidi ya waliojituma.
Tafuta mtu akutafsirie nini maana ya "presented himself at the station"
Kenyans are worshipping us, bila kututaja kwenye media zao news haina mvutoHabari yako wewe mwenyewe hujaisoma umekuja na lawama.
Gari limetoka Tanzania na mzigo likiendeshwa na dereva akiwa na suka wake wote Watanzania. Wakafika Taveta (Kenya) wakapakia mzigo wa huyo Mkenya anayedai ana vibari vya uchimbaji.
Kwa hiyo vyombo vyenu vya habari vinaupa uzito uraia wa wasafirishaji badala ya uraia wa mmiliki.
Hahahaha juzi tena nimesoma mahali waziri wao katangaza tena kwa mara ya pili kwamba KQ itaanza kutua Tanzania, ni week sasa holaa 😅😅😅😅Hawa c wanamaumivu na vikwazo vya ndege zao ndiomaana wana chuki Sana na Watanzania
Ahahahaha wanzao wako bize mikoani wao wanawaza ndege kutua TANZANIA wakati hiko sio kabisa kipaombele cha ilani ya ccm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha juzi tena nimesoma mahali waziri wao katangaza tena kwa mara ya pili kwamba KQ itaanza kutua Tanzania, ni week sasa holaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani wananyanyasika mpaka wanatia huruma
Mungeanza kuwa makini na mmiliki wa hiyo mali kwanza.Haijajulikana nia yao ilikua nini ila ndio hivyo majirani inatubidi tuwe makini sana dhidi yenu watu.....
You`re such a koon man. Nauliza what is the nationality of that person who presented himself in that station? Mpeni mzigo wake na aende.
Kwaio vilipuzi vitokee wapi ili isiwe hatari? USA sio?Asikupe tabu wote lazima wachunguzwe, kuingiza vilipuzi kutokea kwenu huko ni hatari sana.
Huyo Mk254 nadhani kiwango chake Cha elimu ni Cha chini Sana.Acha ufala wewe sasa mzigo wa mke ya mwenzenu na ana vibari Sasa hao wa tanzania wamewakosea nini
Mnapenda attention nyie mburula.
Kwanini mseme mkenya ambaye kasema ni vyake mnawataja wa TZ
Akili zenu mgando nyie
Nilikuambia hakua abiria kwenye hilo gari, ukang'ang'ania, lugha huwa inawatesa sana, tatizo lenu uzembe, haya usiku mwema.