Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Hawa jamaa wanamatatizo sanaMmiliki wa vilipuzi ni mkenya na anavibali vya hiyo kazi yake sasa watanzania wanaingiaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wanamatatizo sanaMmiliki wa vilipuzi ni mkenya na anavibali vya hiyo kazi yake sasa watanzania wanaingiaje hapo?
Ana jaribu kukueleza ujinga wa Mwandishi kwa passive language tu kuwa, driver na turnboy sio issue . Mwenye mzigo amejitambulisha na vibali kwanini taarifa ianze kuwa adress dereva na turnboy.
Kwanini isisomeke kuwa Raia wa Kenya akamatwa na na vilipuzi kwenye lori lililokuwa na dereva mTz? Amefanya as if dereva na tingo wake ndio hoja.
Ni ujinga wa kiuandishi si kosa lake.
Mfano.
1.Polisi ampiga risasi raia wa kigeni
2. Raia wa kigeni apigwa risasi na polisi.
Je huoni hizi sentensi mbili kama zinafanana japo zina malengo tofauti?
Mwandishi ni Mjinga . Wakenya wenye uelewa wanajua wengi wao ni waelewa sana
Huyo mwenye mali yeye haimbidi kueleza?Ndio maana imesemwa kwenye taarifa kwamba upelelezi na uchunguzi unaendelea kubaini chuya na mchele, itabidi hao Watanzania waeleze.
raia wa wapi huyo mwenye mali?Kila mmoja ataeleza, huyo anayedai kuwa ndiye "mwenye" mali, na wote waliokamatwa na vilipuzi, inaanzia kwa waliokamatwa, kisha wengine wote watakaokuja na sound zao watahojiwa pia.
Box 100 hujui ndani kuna nini? Tumia akili kidogoHivyo vilipuzi walipakia taveta kenya baada ya kuvuka boda, ni hapo tamaa ya dereva na utingo wake walipakia mzigo bila kujua ndani kuna nini ili wapate hela ya kula tu njiani
Box 100 hujui ndani kuna nini? Tumia akili kidogo
Mbuyu utauzunguka pekeo.Tutazunguka huu mbuyu mpaka ukome, haijabanika "mwenye mali" nani, tuliyemkamata ndiye aseme kwanza alikotoa na alikusudia kumpokeza nani.