Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wakuu mpo!
Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus.
Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu.
Usijefikiria kuongea kwako Sera za maana ndio utapata ushawishi ukiwa mbele ya jukwaa watanzania wakikuangalia.
Fika,simama, salimia kikabila, tania kidogo, leta mzaha kidogo, mwambie DJ akuchezeshee Ngoma inayobamba eneo hilo hasa zile za kikabila. Cheza kidogo.
Utashangaa umeondoka na kijiji. Watu watakupenda mno. Utashangiliwa sana.
Watanzania ukiongea kilugha chao hata kama wewe sio wa hilo kabila huanza kukunasibisha na hukuona kama mwenzao. Hata kama huna sera wewe ongea lugha yao. Tena usiwe fluent Sana.
Kama ni vijembe, jitahidi umtandike vijembe mpinzani wako kama Baba lebo na mwîjaku wanavyofanya drama zao.
Mfano; yule ndugu yangu yule sijûi nani alimdanganya agombee jîmbo hili. Anafikiri ninyi ni wajinga hamjui jinsi ambavyo familia yake tuu imemshinda, mtakubali muongozwe na mtu ambaye mke wake tuu amemshinda? Alafu nasikia kajamaa ni kana Yale mambo yale. Mnayajua? Mtu wa hovyo kabisa.
Mtu hata haiba hana. Ñguo zake zenyewe zinamvuka alafu bila àibu anataka mumpe kura. Hivi mtampa kura mtu kama yule. Yule ni kiberege tuu"
Badala mtu ajikite kuelezea hoja na sera zake muda wote zaidi ya robo tatu anatumia kuongea porojo zisizo na kichwa wala miguu. Lakini ndizo watanzania wengi wanazozitaka.
Watanzania hawataki mambo magumu. Leta mzahà. Utani wa Jadi wanapenda. Kutaniana kusiko na tija wanapenda. Kuzushiana wanapenda.
Kufitiniana wanapenda
Kunafikiana wanapenda.
Usije na habari zako hapa.
Kibongo bongo ukiwa mtu wa Facts na mtu wa sera watañzania wengi watakuita kwa jina la Mjuaji, mjivuni, anajishaua n.k.
Nafikiri nimekusaidia ndugu unayetaka kugombea mwaka 2024 na mwakani 2025
Robèrt Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam