Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Umeeleza vizuri sana, Na huo ndio Ukweli
 
Mtoa mada acha kuporomoka tu. Wakenya wanafatilia Media, entertainment more specifically music industry, sports na politics za bongo kuliko uwezo wako wa ufahamu ulipoishia. Ulipaswa uulize wajuvi wakuelimushe katika hili kuliko kukurupuka na hisia zako tu. I admit, Kenya a bit ahead of Tz in some aspects but not obsessive to Tanzanians as you uttered.
 
Lowasa alijipeleka huko nina uhakika hakualikwa rasmi na Uhuru Kenya, ndo huo huo muendelezo wa kujipendekeza!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Reactions: nao


Labda kwenye muziki hapo sawa na hata kwenye muziki huwa wanamuziki wetu wanakwenda kufanya promotion huko ndo moja kati ya sababu, lkn Wakenya kwa kawaida hawajali kinachoendelea TZ yetu lkn sisi hatulali kufwatlia kinachoendelea huko, hivyo tunawababaikia!
 
Wewe ndo unawababaikia kwavile wanakupa mkate wa kila siku...


Mimi simbabaikii mtu ila nimeleta ukweli kama unapinga sema kama Watanzania hatuangalii TV na kusoma Magazeti ya Kenya lkn hkn Mkenya anayefwatilia habari zetu!

Ni kawaida TZ yetu hata ukienda bar ukakuta wanaangalia program za Kenya lkn sijawahi kuona Kenya wakiangalia TV zetu, IPP walijaribu na EATV lkn hkn anayeangalia!
 
Mkuu nilishawai kukutana na Taxi driver wa Nairobi anajua tracks zote za Prof Jay...na bongo movie anazijua zaidi yangu mimi
 
Kwahyo hawana habar na upinzan wa TZ ila sio watz in general... Be specific #
Af wao no kina nani kwetu????
 
Mkuu nilishawai kukutana na Taxi driver wa Nairobi anajua tracks zote za Prof Jay...na bongo movie anazijua zaidi yangu mimi
Hapo kwa profesa jay ni kawaida wakenya wanapenda sana mziki wa Bongo lakini Bongo movie? Hapana! Hizo movie zenu ngumu sana kutizama. Poor acting na storyline zisizoeleweka!
 
Khaaa rabish
Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu
Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu
 
Its correct
If you want to fight them know them,join them,
Ni mbinu za zalibya juu ktk kumwin au kumuangusha mpinzani wako ninlzm umjue weakness zake na strength zake ss nashangaa ndugu yetu yule anawaona wa TZ ninwajinga
Afuatilie historian ya China mpk kufika hapo ilipo ilifanya nini kwa Europe na America?
Alijichanganya
Alijishusha
Alishirikiana na amerika ktk kila sector
Mwisho wa siku
Matokeo ndio hayo unayaona sasa ni nani asiyemjua mchina ktk ulimengu wa sasa?
 
Khaaa rabish
Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu
Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu
anasema ukweli.
 
Hapo umenena ndugu
 
waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa.
wakikuyu wanawaheshimu wakikuyu wenzao. na wajaluo kwa wajaluo wenzao, wapokot, wapotit wenzao. lkn si kwa wakikuyu kwa wajaluo, wakikuyu kwa wapokot etc. etc
 
wakikuyu wanawaheshimu wakikuyu wenzao. na wajaluo kwa wajaluo wenzao, wapokot, wapotit wenzao. lkn si kwa wakikuyu kwa wajaluo, wakikuyu kwa wapokot etc. etc
hio ni wakati ambapo siasa za nchi zimepamba moto. lakini ndani ya miaka minne watu wanaishi pamoja, wanaoana, na kufanya biashara kwa kushirikiana.
waLuo na waKikuyu wameona hata kutoka kwa watoto wa Uhuru na Raila. James Orengo pamoja na Babu Owino wameoa waKikuyu
 
Barbarosa kwani tatizo liko wapi, watanzania wakitaka kujuwa na kuelewa maisha ya Wakenya hiyo sio aina ya kujipanuwa kifikra? Kama Wakenya hawataki kujuwa ya Tanzania, hilo litakuwa swala pungufu kwao maana watakuwa wanapoteza elimu ya umoja ambayo ingeweza kupunguza kwa kiasi fulani matatizo yao ya kijamii.
 
Mbona Mimi namjua tu Uhuru Kenyatta, Raila Odinga na Mwai Kibaki.

Binafsi Kenya Hainisumbui akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…