Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Sasa kama wao wenyewe kwa wenyewe wanadharauliana itakuaje wasitudharau sisi? Kama wenyewew kwa wenyewe hawapendani itakuaje watupende sisi? Hao watu wako na roho mbaya in nature, n by the way sio kila wafanyacho wakenya na sisi tufanya na sio kila wasichofanya na sisi tusifanye. Hatupo kwenye mashindano, tunawafatilia n it doesnt cost us anything, wao mioyo yao imejawa na chuki so wanaona kutufatilia kama itakua kutuabudu or something like that bt for us its not a big deal, yani watanzania tuko na upendo wa hivo tu by nature, we love every one n we want to know them.

Hatujawaomba watufatilie, wala haitatuongezea chochote kutufatilia na wasipotufatilia hatupungukiwi pia. Hao watu wameumbwa kwa kuishi kimatabaka, yani kujiona yeye bora kuliko mwingine thats why hata jamii zao hazipiki chungu kimoja seuze taifa jingine??

I dont think if this is some thing of a big deal to brag about, am just feeling so sorry for them kwa kua na roho mbaya.

Na sisi wabongo kufatiliana ni kitu cha kawaida yan ni kama a part of our culture so tunafatiliana wenyewe kwa wenyewe hadi nchi jirani and so do Kenyans wanachukiana na kudharauliana wenyewe kwa wenyewe na hata nchi jirani.
Umeeleza vizuri sana, Na huo ndio Ukweli
 
Mtoa mada acha kuporomoka tu. Wakenya wanafatilia Media, entertainment more specifically music industry, sports na politics za bongo kuliko uwezo wako wa ufahamu ulipoishia. Ulipaswa uulize wajuvi wakuelimushe katika hili kuliko kukurupuka na hisia zako tu. I admit, Kenya a bit ahead of Tz in some aspects but not obsessive to Tanzanians as you uttered.
 
Lowasa alijipeleka huko nina uhakika hakualikwa rasmi na Uhuru Kenya, ndo huo huo muendelezo wa kujipendekeza!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mtoa mada acha kuporomoka tu. Wakenya wanafatilia Media, entertainment more specifically music industry, sports na politics za bongo kuliko uwezo wako wa ufahamu ulipoishia. Ulipaswa uulize wajuvi wakuelimushe katika hili kuliko kukurupuka na hisia zako tu. I admit, Kenya a bit ahead of Tz in some aspects but not obsessive to Tanzanians as you uttered.

Labda kwenye muziki hapo sawa na hata kwenye muziki huwa wanamuziki wetu wanakwenda kufanya promotion huko ndo moja kati ya sababu, lkn Wakenya kwa kawaida hawajali kinachoendelea TZ yetu lkn sisi hatulali kufwatlia kinachoendelea huko, hivyo tunawababaikia!
 
Wewe ndo unawababaikia kwavile wanakupa mkate wa kila siku...

Mimi simbabaikii mtu ila nimeleta ukweli kama unapinga sema kama Watanzania hatuangalii TV na kusoma Magazeti ya Kenya lkn hkn Mkenya anayefwatilia habari zetu!

Ni kawaida TZ yetu hata ukienda bar ukakuta wanaangalia program za Kenya lkn sijawahi kuona Kenya wakiangalia TV zetu, IPP walijaribu na EATV lkn hkn anayeangalia!
 
Mkuu nilishawai kukutana na Taxi driver wa Nairobi anajua tracks zote za Prof Jay...na bongo movie anazijua zaidi yangu mimi
 
Kwahyo hawana habar na upinzan wa TZ ila sio watz in general... Be specific #
Af wao no kina nani kwetu????
 
Mkuu nilishawai kukutana na Taxi driver wa Nairobi anajua tracks zote za Prof Jay...na bongo movie anazijua zaidi yangu mimi
Hapo kwa profesa jay ni kawaida wakenya wanapenda sana mziki wa Bongo lakini Bongo movie? Hapana! Hizo movie zenu ngumu sana kutizama. Poor acting na storyline zisizoeleweka!
 
Nimefika Kenya mara nyingi lkn ukiondoa Raisi wa TZ hkn Kiongozi wa TZ ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lkn hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufwatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lkn TZ tunajua na kufwatilitilia kila Chama cha Siasa cha Kenya na Viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni Watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia Wakenya tukubali au tukatae, hkn Mkenya anayejua TV ya TZ lkn Watanzania wote wanajua TV za Kenya!
Kuna Watanzania hata wanasoma Magazeti ya Kenya lkn hkn Gazeti la TZ linaloweza kuuzwa Kenya na kununuliwa.

Mfano hai Tundu Lisu kakimbizwa Kenya hakuna Mkenya ambaye angeweza kukimbizwa TZ, chadema wako obsessed na Raisi Uhuru Kenya na Chama chake lkn nina uhakika Wanachama wa Chama cha Uhuru Kenya hawajawahi hata kuisikia chadema, achilia mbali hata tu kujua kama kuna mtu anaitwa Mbowe!

Tundu Lisu kalazwa Kenya lkn hkn hata high ranking official mmoja wa Chama cha Uhuru Kenya aliyefika kumuona, kwa kifupi Wakenya don’t give a shit about you, acheni kujipendekeza, ...
Khaaa rabish
Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu
Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu
 
Sasa kama wao wenyewe kwa wenyewe wanadharauliana itakuaje wasitudharau sisi? Kama wenyewew kwa wenyewe hawapendani itakuaje watupende sisi? Hao watu wako na roho mbaya in nature, n by the way sio kila wafanyacho wakenya na sisi tufanya na sio kila wasichofanya na sisi tusifanye. Hatupo kwenye mashindano, tunawafatilia n it doesnt cost us anything, wao mioyo yao imejawa na chuki so wanaona kutufatilia kama itakua kutuabudu or something like that bt for us its not a big deal, yani watanzania tuko na upendo wa hivo tu by nature, we love every one n we want to know them.

Hatujawaomba watufatilie, wala haitatuongezea chochote kutufatilia na wasipotufatilia hatupungukiwi pia. Hao watu wameumbwa kwa kuishi kimatabaka, yani kujiona yeye bora kuliko mwingine thats why hata jamii zao hazipiki chungu kimoja seuze taifa jingine??

I dont think if this is some thing of a big deal to brag about, am just feeling so sorry for them kwa kua na roho mbaya.

Na sisi wabongo kufatiliana ni kitu cha kawaida yan ni kama a part of our culture so tunafatiliana wenyewe kwa wenyewe hadi nchi jirani and so do Kenyans wanachukiana na kudharauliana wenyewe kwa wenyewe na hata nchi jirani.
Its correct
If you want to fight them know them,join them,
Ni mbinu za zalibya juu ktk kumwin au kumuangusha mpinzani wako ninlzm umjue weakness zake na strength zake ss nashangaa ndugu yetu yule anawaona wa TZ ninwajinga
Afuatilie historian ya China mpk kufika hapo ilipo ilifanya nini kwa Europe na America?
Alijichanganya
Alijishusha
Alishirikiana na amerika ktk kila sector
Mwisho wa siku
Matokeo ndio hayo unayaona sasa ni nani asiyemjua mchina ktk ulimengu wa sasa?
 
Khaaa rabish
Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu
Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu
anasema ukweli.
 
Sio kweli hata kidogo, wakenya ni wabaguzi sana tena sana, haiwezikani useme mnaheshimiana wakati mnatambuana kwa ukabila, serikali inaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo, hadi vyuo vikuu vinaendeshwa kwa misingi ya ukabila, makundi ya mitandao nayo ipo katika misingi ya ukabila, kama unabisha, hebu lete orodha ya watumishi wa serikali kwa kila wizara, kuanzia CS makatibu wakuu, waiurugenzi hadi chini, utakuta zaidi ya 60% ni kabila moja, anza na wizara ya fedha, nenda Bank Kuu ya Kenya, nenda wizara ya uchukuzi.....huko ndiko kupendana na kuheshimiana?. Hivi ukisikia watu wa magharibi na wale toka mikoa ya pwani wakilalamika unadhani ni vichaa?, wanataka kujitenga kwa kuhisi wanaonekana second class citizens, unaona malalamiko yao sio sawa kwasababu wewe ni miongoni mwa wale wanaodharau na kuwatenga wengine?
Hapo umenena ndugu
 
waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa.
wakikuyu wanawaheshimu wakikuyu wenzao. na wajaluo kwa wajaluo wenzao, wapokot, wapotit wenzao. lkn si kwa wakikuyu kwa wajaluo, wakikuyu kwa wapokot etc. etc
 
wakikuyu wanawaheshimu wakikuyu wenzao. na wajaluo kwa wajaluo wenzao, wapokot, wapotit wenzao. lkn si kwa wakikuyu kwa wajaluo, wakikuyu kwa wapokot etc. etc
hio ni wakati ambapo siasa za nchi zimepamba moto. lakini ndani ya miaka minne watu wanaishi pamoja, wanaoana, na kufanya biashara kwa kushirikiana.
waLuo na waKikuyu wameona hata kutoka kwa watoto wa Uhuru na Raila. James Orengo pamoja na Babu Owino wameoa waKikuyu
 
Barbarosa kwani tatizo liko wapi, watanzania wakitaka kujuwa na kuelewa maisha ya Wakenya hiyo sio aina ya kujipanuwa kifikra? Kama Wakenya hawataki kujuwa ya Tanzania, hilo litakuwa swala pungufu kwao maana watakuwa wanapoteza elimu ya umoja ambayo ingeweza kupunguza kwa kiasi fulani matatizo yao ya kijamii.
 
Mbona Mimi namjua tu Uhuru Kenyatta, Raila Odinga na Mwai Kibaki.

Binafsi Kenya Hainisumbui akili
 
Back
Top Bottom