Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

.....Kweli nyani haoni kundule, mbona juzi mmekatana mapanga na kuuwana kisa udiwani tuu?
 
....Kenya ipi unayozungumzi? Isijekuwa unaishia hapo Taveta halafu unahitimisha nimeenda Kenya mara nyingi.
 
Mbona huzungumzii katika ajira za serikali?, sasa ulitaka baada ya uchaguzi wafanye nini kama tayari nafasi zote za ajira na sehemu muimu za uchumi wameshapeana wakikuyu, Kalenjin na masai?, ulitaka hawa walioachwa nje ya mfumo huo walete fujo?, Ok this time wamechoka na wanasema wanataka kujitenga na wapo tayari kuleta fujo, hivyo ndivyo unavyotaka itokee ndiyo uamini kwamba Kenya mnabaguana na hampendani?, hata ikitokea hivyo, bado utasema hao wanaoleta fujo ni watu wachache lakini hakuna ubaguzi, hiyo ndiyo inayoitwa, "kutokubalian na ukweli"
 
.....Kweli nyani haoni kundule, mbona juzi mmekatana mapanga na kuuwana kisa udiwani tuu?
Unajua maana ya ubaguzi na ushabiki?, Yanga na Simba wakipigana, au Arsenal na Chelsea wakipigana huo ni ubaguzi?, kama akili yako ni ndogo usichangie mijadala mizito kama hii, ninakushauri rudi kwa Zari, Wema Sepetu na Hamisa Mobeto, hao ni size yako.
 
.....Kweli nyani haoni kundule, mbona juzi mmekatana mapanga na kuuwana kisa udiwani tuu?
Unajua maana ya ubaguzi na ushabiki?, Yanga na Simba wakipigana, au Arsenal na Chelsea wakipigana huo ni ubaguzi?, kama akili yako ni ndogo usichangie mijadala mizito kama hii, ninakushauri rudi kwa Zari, Wema Sepetu na Hamisa Mobeto, hao ni size yako.
 
Ndugu umemjibu vizuri sana,nilitaka nimwambie hivi,

Mtoa maada sajajuia vizuri ni wakike au kiume,maana maada yake imechanganya mambo ya kiume na kike mf maneno haya(kifupi Wakenya don’t give a shit about you,) haya ni maneno yakike pale wivu wa mapenzi ukimshika na kamjua mgoni wake ,
Acha nikupe darasa, kumjua jirani yako kuliko ww akujuavyo kunafaida kubwa sana. Sijui age yako ila sisi enzi zetu darasa la nne mpaka la saba kwenye somo la Geographia tulianza kujua ramani ya Tz,na mikoa yake nakila mkoa na sifa zake,mfano kwenye mtihani unaulizwa Almasi inachimbwa wapi? dhahabu wapi? korosho, nk,then tukaja ramani ya east africa< hapa lazima ujue jina la nchi na miji mikuu yake na baadhi ya miji kama jinja,kampala nairobi,kisumu kericho Turkana na sifa za hiyo miji,mfano unaweza ulizwa kwenye mtihani,ziwe Turkana lipo wapi? unatakiwa kujibu,
kutoka hapo tunakuja tonasoma ramani ya africa na nchi na miji mikuu yake,utamaduni nk,mfano unaweza kuulizwa Victoria falls ipo wapi? au Kakao inalimwa wapi? then tunamaliza na ramani ya dunia,
Haya yote tulisoma sio kwamba tulikua tunajipendekeza au kugive shit ila kupanua uweza wa kuchambua mambo nakujua unaishi katika ulimwengu gani,

Sasa wewe unababaishwa na wekenya ambao hata ukiwauliza Serengeti ipo wapi wankwambia hawajui,mt kilimanjaro wanakwambia unaonekana vizuri ukiwa Kenya,ila mkenye huyo huyo muulize mauaji ya albino yanatokea wapi atakutajia nchi,mkoa hadi Kijiji
Wivu,roho mbaya na majigambo ndio yamewajaa,

(kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!) unasema mkenya wakawida,its true maana ni utamaduni wao,wamelelewa hivyo,Hivi uliwa sikia Wtz labda kuna nchi wainadharau? jibu hakuna kwasababu tumefunzwa kumheshim kila mtu thats why mataifa mengi ya Africa uhuru wao wamepatia Tz pia hata maraisi wao wamepata elim zao hapa,Kingine ambcho hujui Kenya inshindana na TZ kiuchumi wakati TZ hata habari hatuna,mkenya akisikia TZ wafanya hivi na yy analipiza hata kama halina faida kwake,mfn Bomba la mafuta, na wao wanatoa lao linaanzia jUba maka mombasa,sasa,issue ya reli,Tz wanapanga kuunganisha reli from Dar to burundi mpaka Kongo, wao nao Wakajenga yakwao,sasa wauliza mnafaidika navyo? au mnaiga tu?

Inshort Kenya anaifatilia Tz kimajungu majungu,while Tz wanaifatilia Kenya in +VE way,

(Watanzania wote wanajua TV za Kenya!)
hapa reseach yako ni ya uwongo kweli kweli ,hauna tofauti naile ya wakenya wanajisifia eti 90% ya popuration yao wanatumia internet ,wakati hapo hapo report zao zinasema 60% ya wakenya hawanaumeme,25% ni watoto 40% nimasikini wakutupwa,yaani mlo kwa siku ni shida,

Unacho takiwa kujua wakenya wanapenda sifa kuliko kitu chochote,
 
Ila huko Kenya mnapenda muziki wa Tanzania mno.

Kwenye matatu zenu nilikuwa naskia nyimbo za kina Aslay throughout.
 
Mbona unawajua wakenya kiasi hiki, uliwahi kukaa Kenya?. Mkenya ukimuambia achague kuendelea kuwa hai bila kusifiwa, na kufa lakini huku nyuma vyombo vya habari vitarusha mazishi yake live na jeneza lake litakuwa na maandishi ya; THE BEST COFFIN IN THE WORLD, wakenya wengi watachagua kufa...hawa watu kupenda sifa ugonjwa wa kuambukiza kwao.
 
Khaaa rabish
Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu
Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu


Sema wapi nilipodanganya?
 


Kwa hiyo sisi ni Wachina na Wakenya ndo Ulaya na US? Sasa kama hivyo kwa nini mnanishambulia kwa kusema Watz tunafwatilia zaidi khs Kenya klk kinyume chake?
 


Siyo kweli! Kufwatilia maisha ya mwingine kuliko anavyofwatilia yako ni inferiority complex, inaonyesha haujithamini na unamuhitaji klk anavyokuhitaji!

Ni lini uliona Mkenya anakuja kwenye TV za kwetu kuisema vibaya nchi yake kama wale takataka wenu Msigwa na Lema walivyofanya?
 
Wewe mbona akili yako ni hovyo sana?, sasa Msigwa na Lema kwenda kwenye vyombo vya habari ilipata baraka za watanzania au wao walienda kuishambulia nchi kutokana na uadui wao na CCM?

Kwanza kitendo cha TV za Kenya kushabikia ugomvi wa Tanzania ni kuonyesha jinsi gani Kenya inavyotaka kuiona Tanzania inaingia kwenye mgogoro, hawapendi kusikia Tanzania inawazidi kwa utulivu, wanataka kuonyesha hata huko mambo sio sawa.

Wewe sema ni TV gani hapa Tanzania inayozungumzia kuhusu Kenya kama jinsi TV za Kenya zinavyoizungumzia Tanzania?, ninahisi umepoteza kazi yako ya utapeli, hivyo unajaribu kutoa stress zako za maisha.
 


Lema na Msigwa walijipeleka kuikashifu nchi yangu na kwanza Wakenya wala hawakuwaangalia jinsi wanavyowadharau pmj na kujipendekeza kote, hkn hata aliyejua kama hata walihojiwa isipokuwa huku Bongo ndo ikawa News!
 
Lema na Msigwa walijipeleka kuikashifu nchi yangu na kwanza Wakenya wala hawakuwaangalia jinsi wanavyowadharau pmj na kujipendekeza kote, hkn hata aliyejua kama hata walihojiwa isipokuwa huku Bongo ndo ikawa News!
Wewe ndiye unayejidhalilisha kwa kuwasemea wakenya kwamba hawakuiangalia, kama vile ulikuwa ndani ya nyumba zote za wakenya, kwanini sasa wawaruhusu.watu.wasiotazamwa na kuwapa airtime?, wewe kama umepata basha toka Kenya ananya vizuri, isiwe sababu ya kumchukia basha wako wa Tanzania
 


Nimekwenda Kenya mara nyingi sana, na huwa najichanganya nikiwa huko, sijawahi kusikia hata siku moja wakiongelea khs chadema, Mbowe au sijua Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda hapa kuwajadili na maisha yao, kwanza hata habari ya TZ tu ni nadra sana kuwekwa front page ya Magazeti yao kama vile tunavyofanya hapa Tanzania, ukiwa Kenya hata kiongozi wa Tanzana anaweza kuja lkn hakuna anayejua kama kuna Kiongozi wa Tanzania yupo nchini lkn hapa Tanzania hata tu Waziri fulani wa Kenya akiwepo nchini nchi nzima tunajua!
 
Kwanza sina hakika kwamba Watanzania as a nation wanaweza kuwa obsessed in a lamentable way na kitu chochote. Hata ukisema wamekuwa obsessed na Dr. Shika au ku bet, two clear hits now, that is debatable.

What is to be obsessed exactly?

Pia, kuwa obsessed na nchi nyingine si kitu kibaya, as long as kuna malengo.

Wazungu walikuwa obsessed na Afrika kuliko Waafrika walivyokuwa obsessed na Ulaya,matokeo yake wazungu wakatawala Afrika.

Kwa hiyo, kuwa obsessed kunaweza kuonesha curiosity, kunaweza kuwa kitu kinachokupa nguvu kibiashara.
 
Kuna ukweli hapo. Sikujua vice president wenu ni mwanamke. Niliona juzi kwa inauguration ya president wetu. I have always wondered why every breaking News is here brought by some Tanzanian. Wengine watatafuta uchafu wote wa kenya kwenye mitandao... It's pathetic sometimes
 
Wewe kama unakwenda Kenya na kurudi, mimi nimefanya kazi Kenya miaka sita na nimeizunguka Kenya sana, TV zao zinarusha habari za Tanzania kuliko TV za Tanzania zinavyoizungumzia Kenya, wewe inawezekana unatembelea vijijini, wakenya wanawakubali sana watanzania, kiujumla mkenya ni mtu mwenye kupenda sifa, ila ni wabaguzi sana, kwa taarifa yako, asili yangu mimi ni Kenya na karibu nusu ya ukoo wetu wapo Kenya, hayo unayosema ni uongo mtupu, ninahisi huna ajira na dili zako zimekwama unaanza kuonyesha flustrations zako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…