joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Dec 1, 2017 #141 Lewis254 said: waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa. Click to expand... Ulisema ukabila hujitokeza katika kipindi cha uchaguzi tu, tulikuambia ukabila Kenya ni kama dini zilivyo, ni sehemu ya maisha ya wakenya, ona ushahidi huu Is this Kenya's most brazen case of tribalism? - Nairobi News
Lewis254 said: waKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa. Click to expand... Ulisema ukabila hujitokeza katika kipindi cha uchaguzi tu, tulikuambia ukabila Kenya ni kama dini zilivyo, ni sehemu ya maisha ya wakenya, ona ushahidi huu Is this Kenya's most brazen case of tribalism? - Nairobi News