joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ulisema ukabila hujitokeza katika kipindi cha uchaguzi tu, tulikuambia ukabila Kenya ni kama dini zilivyo, ni sehemu ya maisha ya wakenya, ona ushahidi huuwaKenya wanaheshimiana sana tena sana sijawai pata kuona na pia ni wakarimu. japo tofauti hutokea kila baada ya miaka mitano watu wakianza kujitenga kwa mirengo ya kisiasa.
Is this Kenya's most brazen case of tribalism? - Nairobi News