Watanzania Wakwama Uwanja wa KIA India kwa Siku 6

Watanzania Wakwama Uwanja wa KIA India kwa Siku 6

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Familia ya watanzania baba, mama na watoto wawili wamekwama katika uwanja wa ndege wa KIA huko India kwa siku 6 sasa. Gazeti la India linadai watu hao ilishindikana kubebwa na Air Tanzania hata hivyo shirika la ndege la Oman limekubali kuwachukua.
===
Sources told Bangalore Mirror that though the family of three were holding valid Indian and Maldivian visas, they were denied entry into Maldives due to insufficient funds and no hotel reservation.

They were sent back to Bengaluru on an Air India flight and upon arrival they were denied entry into India by immigration authorities.

“The family had booked tickets with Air Tanzania to fly back to Dar Es Salaam via Mumbai. However, Air Tanzania refused to fly them and the family was stranded at Bengaluru since January 9,” sources said.

At KIA, the family was looked after by the airport authorities and airline staff.

“Three Tanzanian nationals who were denied entry into India by immigration authorities are currently being assisted with repatriation flights to their home country. Their welfare needs, whilst in transit, are being looked after by the BIAL team,” a BIAL Spokesperson said.

Now after spending close to a week at the airport the family will fly back to their home country via Muscat on Wednesday as Oman Air has agreed to take them.

The family of four (husband, wife and two children) arrived in India on October 10. They had flown in from Dar Es Salaam to Mumbai and were staying in Goa.
 
Kama ulisoma habari tujuze, Usikute na taarifa ya kuchafua Air Tanzania Kwa washindani
 
Kama ulisoma habari tujuze, Usikute na taarifa ya kuchafua Air Tanzania Kwa washindani
Gazeti linadai abiria hao wanatoka India kwenda Maldives lakini wakazuiwa kuingia huku kwa kuwa atakuwa na booking ya hotel na pesa ya kutoa so jamaa wakawarudisha India, wakiwa hapo uwanjani wakawasiliana na Air Tanzania kwa maelezo ya gazeti wanadai Air Tanzania iliwakataa na ndio wakawafanyia mpango wa Oman Air ambayo iliwakubali.
 
Shida mnaweka vipande vipande tu. Weka habari kamili.
Pia utafsiri yaliyoandikwa kwenye hilo gazeti wengine hatukupanda gari za njano
Halafu unataka kugombea ubunge kupitia CCM uishie kuunga mkono sheria na mikataba mibovu.
 
Wakati tuliopo kila mtu anaogopa kutendwa, so maamuzi yoyote kipindi yana haki kwa aliyeyatoa.
 
Back
Top Bottom