Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank wakidai nia yao ni kupewa kijana huyo pamoja na dada yake ili wawasaidie kwa kuwasomesha na sio kuchanga fedha katika account za bank zilizofunguliwa
Malalamiko ya Watanzania yamewasilishwa kupitia comments katika post iliyorushwa na kituo cha habari cha ITV
Ushahidi:
View: https://www.facebook.com/share/v/1JAziEe8oh/
Malalamiko ya Watanzania yamewasilishwa kupitia comments katika post iliyorushwa na kituo cha habari cha ITV
Ushahidi:
View: https://www.facebook.com/share/v/1JAziEe8oh/