Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki.
Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali.
Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye ni hawa wahuni. Tuwachukie kila sehemu.