Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Raia 300,000 wakiandama kuelekea ikulu na kupiga kambi mpaka mabadiliko yafanyike, hakuna atakayezuia hiyo nguvuUnaweza watu wameshika kuanzia Mahakama kuu majeshi wana pesa wana mihimili yote unaweza wapi ni kuugana nao watanzania wote tule taifa
Jeshi hawawezi kuingilia maandamano ya ndani lakini kwa akili za makamanda inawezekana nao ni machawa tuuLabda nchi ipewe jeshi , wanasiasa ni walewale.
Raia 300,000 wakiandama kuelekea ikulu na kupiga kambi mpaka mabadiliko yafanyike, hakuna atakayezuia hiyo nguvu
Jeshi hawawezi kuingilia maandamano ya ndani lakini kwa akili za makamanda inawezekana nao ni machawa tuu
tuandamane kwa maslai ya church?Ni kweli. Na mifano ipo Egypt, Libya n.k
We chizi kweli yaani tuungane na pole pole .Toka lini akawa mzalendo huyo .Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki.
Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali.
Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye ni hawa wahuni. Tuwachukie kila sehemu.
We chizi kweli yaani tuungane na pole pole .Toka lini akawa mzalendo huyo .
Nyie akil zenu zikoje mbona mnachotaka hamkijui
Polepole ni Mhuni mfawidhiTuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki.
Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali.
Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye ni hawa wahuni. Tuwachukie kila sehemu.
Kaa pembeni, hulazimishwituandamane kwa maslai ya church?
Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki.
Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali.
Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye ni hawa wahuni. Tuwachukie kila sehemu.
Kwani yeye na Ponjoro ni watu tofauti?Wana Mtandao wanaitaka nchi yao waliyoipotezaga 2015.
Kitendo cha RA kumjibu Polepole jiulize mara mbili mbili yy kama nani ndani ya CCM ?