Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Naomba kujua taarifa za hawa jamaa maana huyu binti kiziwi ilisemekana kuwa alihukumiwa miaka mitana na ilikuwa 2013, huyu mwingine ilisemekana alihukumiwa miaka sita 2014 maana yake mwakani atatoka.
je! kuna yeyote mwenye taarifa za binti kiziwi maana miaka mitano tangu 2013 tayari imeisha. au walinyongwa halafu tukadanganywa wamehukumiwa miaka hiyo michache??
kuna mmoja pia alikamatwa cairo naye taarifa zake vipi??