Watanzania waliohukumiwa China, Jack Cliff na Binti Kiziwi wanaendeleaje?

Watanzania waliohukumiwa China, Jack Cliff na Binti Kiziwi wanaendeleaje?

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Naomba kujua taarifa za hawa jamaa maana huyu binti kiziwi ilisemekana kuwa alihukumiwa miaka mitana na ilikuwa 2013, huyu mwingine ilisemekana alihukumiwa miaka sita 2014 maana yake mwakani atatoka.

je! kuna yeyote mwenye taarifa za binti kiziwi maana miaka mitano tangu 2013 tayari imeisha. au walinyongwa halafu tukadanganywa wamehukumiwa miaka hiyo michache??

kuna mmoja pia alikamatwa cairo naye taarifa zake vipi??
 
Majuto mjukuu, inawezekana walishakula kitanzi
 
Wazee wa Lumumba wamewaficha ili media tour ianze mapema kabla ya uchaguzi alafu watumike kwenye campaign.
 
Binti kiziwi she is ......... alikula kitanzi since mwaka jana mwanzoni huyo jack kifungo chake kiliongezwa kwa miaka mitatu zaidi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom