Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
hahaha...... mbona umewaza hilo tu??Mmmh akitoka unataka kumwoa mmoja wapo!?
Anyway wajuz wa mambo watakuja na majib
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo inawezekana Binti Kiziwi ameshatoka??Hata wakitoka hao (kama kweli wako hai) watatafuta asylum nchi nyingine Bongo itakuwa fedheha sana kwao.
Lakin mkuu sidhani kama kuna nchi itakubali kuwapa asylum kutokana na historia.Hata wakitoka hao (kama kweli wako hai) watatafuta asylum nchi nyingine Bongo itakuwa fedheha sana kwao.
Chama chetu hakikawii kufanya hivyo,hao jamaa ni vichwa maji kweli.Wazee wa Lumumba wamewaficha ili media tour ianze mapema kabla ya uchaguzi alafu watumike kwenye campaign.
Sifahamu bosskwa hiyo inawezekana Binti Kiziwi ameshatoka??
Na wabogojo si yupogo huko huko angemuuliza kwa taarifa zaidiWenye kujua sana ni JUX,Z-ANTO na WABOGOJO FORD.
Acha kuongea kama unajua kitu mzee baba...!!Binti kiziwi she is ......... alikula kitanzi since mwaka jana mwanzoni huyo jack kifungo chake kiliongezwa kwa miaka mitatu zaidi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Juksix yupo analelewa na mpare-mifupa mikavu hana time na wajela jela.Wasiliana na Mbongo fleva Jux kwa taarifa za kina kuhusu wanyange hao..
Sent using Jamii Forums mobile app