Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea…

lakini chikumbalaga sio Mtanzania
Well, sina hakika kama alikuja Bongo kwa passport. Na hadi kufika Dar na kuwa maarufu hatukusikia kuwa si Mtanzania. Tulijua tu anatokea Tunduma, ambayo ni sehemu ya Tanzania. Hata hivyo, kwa vyovyote vile, umaarufu wake uliwagusa Watanzania zaidi.
 
Piere liquid, mlevi wa taifa. Alialikwa mpaka bungeni. Akawa kwebye kamati ya kusimamia ushindi wa taifa staz akiwa na kina makonda.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyo Steve kulia Lia Ni balaa Sana, jamaa alikuwa analia kindezi Sana 😂
 
Steve kulialia anafanya kazi azam media...kala kitengo pale anamwaga shavu.
 
Kuna yule dogo wa mbeya alikuja na ule msemo "Tunaomba irudiwe" ali trend sana kunako Instagram

Kun yule dogo anaitwa Hakika Ruben nae alitrend kunako viunga vya Insta na social media zingine baada ya kujihusisha na mambo ya kiupinda siku hizi kapotea
 
Steve haja Steve hajapotea isipokuwa kapata kazi ya kumkeep busy ndio anayefanya matangazo na Azam tv, hasa ya michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…