Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Msilielie sana kuhusu GAZA Mwarabu mwenyewe ni katili mara dufu.
 
Naona hili jambo limekuwa sugu na kuna Malalamiko mengi sana, na kuna watu wanaumizwa sana huko!

Mimi nafikiri utaratibu uwekwe! Kama mtu anataka kwenda kufanyakazi nje, kuwepo na mawasiliano kati ya Wizara ya Mambo ya ndani (kwetu) na ubarozi wetu wa nchi kule ambako mtu anataka kwenda kufanyakazi! Akifika huko aripoti kwanza kwa barozi wetu kabla hajaenda kwa Tajiri wake/Kampuni kufanyakazi.
Kwa barozi ataandika taarifa zake, mawasiliano na kueleza kule anakokwenda ni wapi na kwa Tajiri au Kampuni ipi! Then taarifa zile zikabidhiwe kwenye Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi husika! Itasaidia Ubarozi wetu kumsaidia yule mtu anapopata matatizo.

Lakini kama kule mtu anakokwenda, barozi hana taarifa, harafu yakimkuta ndiyo anakumbuka kukimbilia kwa barozi, barozi atamsaidiaje wakati hana taarifa naye?

Anyway ni mtazamo wangu!
 

Watu wawe makini sana kwenda nchi za kiarabu. Huko kuna biashara haramu ya viungo vya binadamu

Utadanganywa kuwa kuna kazi. Ukifika huko utatunzwa vizuri. Siku akipatikana mteja wa kununua figo, moyo au ini, unapewa chochote ili uugue, halafu haraka utakimbizwa kupelekwa hospitali kubwa, na utadanganyika na kuamini unapendwa na kuthaminiwa.

Kisha utalazwa usingizi maisha, na viungo vyako vinatolewa kwenda kumwekea mwarabu tajiri. Ndugu watataarifiwa kuwa mauti yamekupata wakati unapewa matibabu.

Kwa mwarabu, mtu mweusi ni kiumbe tu anayefanana na binadamu.
 
Ukatili upo sehemu zote duniani lakini wamanga wamezidi
 
Uongo mtupu.
 
Yaan watu wakivurugwa wanaandika chochote mahali popote mkuu. Sasa sijui alijua kaanzisha Uzi mpyaaa ndio kaupload hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujawashitukia tu watu wa aina hiyo, huyo katumwa 'kwa kazi maalumu' ya ku-disrupt mijadala pevu kwenye mitandao ya kijamii ambayo wanaona inaikaba koo "kitengo chao."
 
Q q q

Uongo mtupu.



Saudi Arabia is known for its poor labour and human rights record, and is widely considered one of the most dangerous places to work in the world. Employers in the Gulf state have been dogged by allegations of physically, mentally and sexually abusing their migrant housekeepers for years; claims which continue to resurface.

In Kenya, reports of abuse sparked fresh outrage earlier this month when online photos of a young Saudi-based Kenyan worker, Diana Chepkemoi, looking frail went viral, along with claims that she was facing employer abuse and neglect. Under growing pressure from the public, the government repatriated her and a few other domestic workers facing a similar plight in the Gulf state, including Simiyu.

Until just a few years ago, Saudi Arabia’s kafala system required housekeepers to gain permission from their employer if they wanted to change jobs or leave the country. Rights groups say this policy left them vulnerable to abuse.

This year alone, Haki Africa has received more than 51 complaints of abuse from Kenyan domestic workers based in Saudi Arabia, several videos of distressed women asking for help, and at least 10 new calls for help after reports of abuse resurfaced in September.

The Gulf is plagued by complaints of mistreatment of its domestic workforce, with estimates by the International Trade Union Confederation showing that more than 2.1 million women employed in households across the region are at risk of exploitation.
 
Mashaka gani? Yaani leo ndiyo umesikia manyanyaso ya waarabu kwa watu weusi?
 
Kuna unyanyasaji huko sana
Kuna dada aliendaga huko amerudi
Marinda yake yote yamefumuliwa

Ova
 
Porojo tu hizo.

Wengu wanakwenda huko kwa ajili ya kujiuza.

Kama si kujiuza mnaenda kufanya nini?

Wafanyakazi wa ndani hata Tanzania wanabamizwa hovyo, "beki tatu" ni nani?
 
Hao wanaoenda huko nje hua wanaambiwa kabisa madhila ya huko,lakini hua wanaweka kichwa ngumu kutotaka kuelewa, na baadhi ya nchi zinamatukio ya kujirudia, kikubwa watu wenyewe wachukue tahadhari
sawa ukisahchukua tahadhari chi kama baba lazima akulinde wewe mwanao sasa ubalozi unageuka genge la wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…