Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Hao wanaoenda huko nje hua wanaambiwa kabisa madhila ya huko,lakini hua wanaweka kichwa ngumu kutotaka kuelewa, na baadhi ya nchi zinamatukio ya kujirudia, kikubwa watu wenyewe wachukue tahadhari
Tunahitaji kuwa na balozi zinazojali Watanzania na si hivi ulivyochangia mkuu
 
HV hkn namna ukaua muarabu mmoja Kisha ukasepa au kishas andaa mazingira ya kusepa

Mm ningekuwa huko siku nyingi ningewalisha sumu familia nxima na kutokomeaaa
 
Wapo mpaka wanangu huko, nna ndugu zangu kabisa, hao wapwa (nieces,nephews na cousins) ndiyo usiseme.

Mimi mwenyewe, nimeishi au kutembelea nchi kadhaa za Kiarabu katika maisha yangu.

Tusidanganyane hapa.
Ufahamu pia kuwa inaposemwa kuwa mambo hayo yapo huko Uarabuni, haimaanishi kila Mwarabu anafanya hivyo, au nchi zote za Kiarabu zinafanya hivyo, lakini hata kama ni wachache sana wanaofanya hivyo, ikitokea ni wewe ikakuangukia, haijalishi ni matukio mengi au machache.

Lakini rejea pia tukio lile la kinyama lililofanywa na vijana wa kiarabu dhidi ya Mtanzania pale Dubai. Mtanzania, kutokana na ujuzi na bidii yake ya kazi, aliteuliwa kuwa mkuu wa kitengo cha kusindika nyama kwenye kiwanda cha nyama. Vijana wa kiarabu wakamshika kwa nguvu na kumtumbukiza yule mtanzania kwenye mashine ya kusagia nyama, ukawa mwisho wa maisha yake. Yote hiyo ilifanywa na wale mashetani wa kiarabu kupinga kuwa wao hawawezi kufanya kazi kwa kusimamiwa na mtu mweusi.
 
Itoe ulaya hapo huko wanajitambua pia Serikali zao zinajali Haki za wote ukimtesa mfanyakzi utapotea.
Uarabuni sawa na Sio waarabu wote.
Wapo waarabu wanaosali uwatendea mema wafanyakazi hadi hawatamani kurejea nchini.
 
Suala la kuteswa hata hapa bongo wanateswa sana kuliko hata huko uarabuni kwa kufanya kazi masaa zaidi ya 16 na wanalipwa elf 2 kwa siku.
Viwandani wanalipwa elf 5 kwa siku kwa masaa kumi, kampuni za usafi na za ulinzi bongo wanalipwa elf 4 kwa siku kwa masaa 14.
Bora wateseke tu huko nje.
 
Ajal
Hao wanaoenda huko nje hua wanaambiwa kabisa madhila ya huko,lakini hua wanaweka kichwa ngumu kutotaka kuelewa, na baadhi ya nchi zinamatukio ya kujirudia, kikubwa watu wenyewe wachukue tahadhari
Ajali kazini,Sio kila muarabu mbaya Pana watu Wana zaid ya miaka kumi huko haya kwao ni hadithi
 
Wajamaa hawaamini Muñgu wao kuua kuumiza mtu ni dk sifuri
 
Mwanamke kaumbwa kukazwa mwanamke akimbii mbooooooo
 
Passport ni Mali ya mwajiri au sponsor wako hadi utakapomaliza gharama za kupelekwa kule.
Utaki jigharamie mwenyewe ufike.
Wabongo Sio waaminifu hawachelewi kusitisha mkataba
 
Haya uwakuta mastoraway wanaoenda kinyemela kule
 
Nje inabidi uende kwa kujua unaenda kufanya nini na kuna nchi na nchi hauwezi kusikia mtu ameenda western countries kutumikishwa. Kuna nchi zina hali mbaya kuliko Tanzania, sio kila nchi ni nzuri. Nawashauri watanzania njia ambazi unaweza ukaenda nje na kuishi kwa raha ni kupitia kazi ya kitaaluma au masomo. Hizi njia za kuzamia wanazotumia west Africans ni mbaya sana ndo maana wanapitia mambo mabaya huko nje.
 
Mshahara mzuri kuliko mwajiriwa mwenye masters bongo.
Ajali kazini ukiangukia pabaya kwani Sio kila mwarabu ni mbaya
 
Sheria za kiislam haziruhusu kumtendea mtu yeyeto mabaya hao ni mafirauni tu hawaijui dini.
Muislamu anaesali hawezi mfanyia mtu mabaya
 
Napinga hoja ya Passport ya Tanzania kuuzwa ughaibuni.. hilo haliwezekani popote kwa sasa.

Nakubaliana na wewe ktk hoja ya raia wa tanzania kuzuiwa na kuhojiwa na watu wa usalama na police wa JNIA kipindi unaporudi inchini either ukiwa deported au ukiwa na emergency travel document.

Jamaa wanakuchukulia kama ni muhalifu fulani,,
 
Hii mada ina maeneo mawili yakujadili
1. Ulinzi wa Watanzania nje ya nchi
2. Ulinzi wa pasipoti yetu isipoteze udhibiti wa kiusalama na hivyo kukwamisha watanzania kuheshimika Duniani.

Ili eneo la pili ni sensitive kwa wote kwani Mataifa mengi yanapobaini pasipoti zetu zipo mikononi mwa watu wasiohusika nao wataongeza ukaguzi kwenye mipaka yao na kuleta usumbufu na udhalilishaji wa watanzania nje.

Hata wewe unayedhani umesoma na unagenuine reson za safari unaweza ukafikia mahali ukakaguliwa kinyume na humanity huko nje.

TUSIPOILINDA PASIPOTI YETU TUTAANZA TENA KUSUMBULIWA KATIKA VIWANJA VYA NDEGE. LET US PROTECT IT
 
HV hkn namna ukaua muarabu mmoja Kisha ukasepa au kishas andaa mazingira ya kusepa

Mm ningekuwa huko siku nyingi ningewalisha sumu familia nxima na kutokomeaaa
Ungekatwa kichwa.
Kuna video mitandaoni za watu waliofanya hivyo na kuhukumiwa kifo. Wanakatwa kichwa hadharani kama viwanja vya Mnazimmoja au Tanganyika Packers pale Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…