FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Baki na mawazo yako duni.Nimegundua kitu, ukiwa mtumwa wa dini , unakuwa huna akili, ndo mana wazungu na waarabu wametumia dini kututoa akili,,
Nenda Israel wanatafuta wafanya kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki na mawazo yako duni.Nimegundua kitu, ukiwa mtumwa wa dini , unakuwa huna akili, ndo mana wazungu na waarabu wametumia dini kututoa akili,,
Tunahitaji kuwa na balozi zinazojali Watanzania na si hivi ulivyochangia mkuuHao wanaoenda huko nje hua wanaambiwa kabisa madhila ya huko,lakini hua wanaweka kichwa ngumu kutotaka kuelewa, na baadhi ya nchi zinamatukio ya kujirudia, kikubwa watu wenyewe wachukue tahadhari
HV hkn namna ukaua muarabu mmoja Kisha ukasepa au kishas andaa mazingira ya kusepaLinapokuja suala la kula ushuzi waarabu ni sehemu ya utamaduni ukifanya kazi kwa mwaarabu lazima ufumuliwe mtaro yaani unakuwa sharubati ya familia hadi wageni wakija watakubandua na sababu za msingi zipo:
1. Nchi nyingi za kiarabu hakuna biashara ya kuuza mwili kwa hiyo hawana sehemu ya kushushia shida zao za ziada. (Tofauti na kwetu mfano Zenji mishoga ya kumwaga na unaamua wewe ukalifumulie wapi ndo maana waarabu hawakauki zenji)
2. Nchi za kiarabu sheria kali za kutofanya ujinga na wangeruhusu kwa akili zao wangepigana mtungo mchana kweupee
Ufahamu pia kuwa inaposemwa kuwa mambo hayo yapo huko Uarabuni, haimaanishi kila Mwarabu anafanya hivyo, au nchi zote za Kiarabu zinafanya hivyo, lakini hata kama ni wachache sana wanaofanya hivyo, ikitokea ni wewe ikakuangukia, haijalishi ni matukio mengi au machache.Wapo mpaka wanangu huko, nna ndugu zangu kabisa, hao wapwa (nieces,nephews na cousins) ndiyo usiseme.
Mimi mwenyewe, nimeishi au kutembelea nchi kadhaa za Kiarabu katika maisha yangu.
Tusidanganyane hapa.
Ajali kazini,Sio kila muarabu mbaya Pana watu Wana zaid ya miaka kumi huko haya kwao ni hadithiHao wanaoenda huko nje hua wanaambiwa kabisa madhila ya huko,lakini hua wanaweka kichwa ngumu kutotaka kuelewa, na baadhi ya nchi zinamatukio ya kujirudia, kikubwa watu wenyewe wachukue tahadhari
Wajamaa hawaamini Muñgu wao kuua kuumiza mtu ni dk sifuriKuna mashaka makubwa sana kuhusiana na madai yako.
Hoja yako kwa upande wangu inaibua maswali mengi zaidi kuliko majibu.
Kwanza kabisa, kwa jinsi ninavyowafahamu vizuri wa-Tanzania na namna akili zao zilivyo pamoja na utaratibu wao wa maisha ulivyo (hata wakiwa hapahapa nyumbani Tz), nasita kukubaliana moja kwa moja na hizi hoja zako.
Aidha, nchi zote hizo ulizotaja zina mfumo wa hovyo wa utawala kwa ujumla. Zina chembechembe za utawala wa kiimla (udikteta), na wala hakuna demokrasia huko. Zinafuata sera na mfumo wa Ujamaa na/au Ukomunisti, utaratibu wa utawala wa kiimla ambao kamwe haufai kufuatwa kwa sababu raia na wananchi wote ktk nchi wanachukuliwa kama mateka tu wa watawala wachache waliopo mamlakani.
Utasepa wapi Sasa bila kukamatwaHV hkn namna ukaua muarabu mmoja Kisha ukasepa au kishas andaa mazingira ya kusepa
Mm ningekuwa huko siku nyingi ningewalisha sumu familia nxima na kutokomeaaa
Mwanamke kaumbwa kukazwa mwanamke akimbii mboooooooView attachment 2843238
Wengine wanajirusha kutoka maghrofani baada ya kukazwa kusikoisha unakuta familia moja ya Kiarabu ina vijana watano na wote wakitoka shule wanapeana zamu ya kumkaza Mfanyakazi wa ndani na akipata mimba wanampeleka kwa Dokta inatolewa ili waendelee kumkaza.
Very sad.
Haya uwakuta mastoraway wanaoenda kinyemela kuleNaona hili jambo limekuwa sugu na kuna Malalamiko mengi sana, na kuna watu wanaumizwa sana huko!
Mimi nafikiri utaratibu uwekwe! Kama mtu anataka kwenda kufanyakazi nje, kuwepo na mawasiliano kati ya Wizara ya Mambo ya ndani (kwetu) na ubarozi wetu wa nchi kule ambako mtu anataka kwenda kufanyakazi! Akifika huko aripoti kwanza kwa barozi wetu kabla hajaenda kwa Tajiri wake/Kampuni kufanyakazi.
Kwa barozi ataandika taarifa zake, mawasiliano na kueleza kule anakokwenda ni wapi na kwa Tajiri au Kampuni ipi! Then taarifa zile zikabidhiwe kwenye Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi husika! Itasaidia Ubarozi wetu kumsaidia yule mtu anapopata matatizo.
Lakini kama kule mtu anakokwenda, barozi hana taarifa, harafu yakimkuta ndiyo anakumbuka kukimbilia kwa barozi, barozi atamsaidiaje wakati hana taarifa naye?
Anyway ni mtazamo wangu!
Kwani ubalozi ndio uliwapelekaSi waende ubalozini
Nje inabidi uende kwa kujua unaenda kufanya nini na kuna nchi na nchi hauwezi kusikia mtu ameenda western countries kutumikishwa. Kuna nchi zina hali mbaya kuliko Tanzania, sio kila nchi ni nzuri. Nawashauri watanzania njia ambazi unaweza ukaenda nje na kuishi kwa raha ni kupitia kazi ya kitaaluma au masomo. Hizi njia za kuzamia wanazotumia west Africans ni mbaya sana ndo maana wanapitia mambo mabaya huko nje.Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.
Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.
Wanadai wakiripoti ubalozini majibu wanayopewa ni kwamba serikali haikuwatuma waende huko hivyo watajua namna ya kurejea Nchini. Baadhi wanafanya mawasiliano wakiwa tayari wameumizwa kingono au kupigwa au kudhulumiwa haki zao.Hali hiyo ipo sana Malaysia, Uturuki, China, Qatary, Oman, Dubai na Iraq.
Chakushangaza, wanapofanikiwa kutoroka kwa waajiri na kupata wasamaria wema wakuwasaidia hifadhi ili waweze kupata pasipoti za karatasi zakurejea Nchini maafisa ubalozi wengi wanadaiwa kutokufanya yafuatayo
1. Hakuna taarifa za familia inayoshikilia pasipoti zinazochukuliwa badala yake wanalazimisha watanzania waseme wamepoteza pasipoti kitu ambacho siyo kweli.
2. Wanakataa kuwaandikia mamlaka za nchi husika wafanye uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria za wanaohusika kuficha pasipoti za Tanzania
3. Wanapoambiwa kwamba baadhi ya pasipoti zinauzwa kwa baadhi ya makundi ya kihalifu waweze kuchunguza hakuna hatua wanazochukua.
4. Wakati mwingine wanaomba kuwasiliana na mamlaka za Tanzania kuhusu hali hii lakini wanadai, ukirudi nyumbani utaenda kusimulia ndugu zako. Unajiuliza watanzania wasipokwenda kwenye haya Mataifa wao watapata kazi yakufanya? Je wageni wa Mataifa hayo huku kwetu balozi zao zinawadharau hivi?
5. Pamoja na madhila wanayopitia wakirejea Tanzania wanahojiwa na kuwajibishwa kama waalifu wakati ukweli ni kwamba wao ni wahanga tu na serikali ilipaswa kuwawajibisha waliowaajiri kwani mikataba ya ajira wanakuwa nayo
Kwa taarifa za vijana hawa wanasema zaidi ya pasipoti elfu tano zinashikikiliwa na waajiri, wanigeria na wahalifu wengine kutoka Afrika magharibi. Siyo hivyo tu bali pasipoti hizo zinatumika na wageni kufungulia akaunti nakuzituma akaunti hizo kuweka fedha za kihalifu kukwepa kukamatwa(huko kwa wenzetu wanashindwa kutofautisha kama tunavyokwama kuwatofautisha wachina hapa bongo).
Wito wangu kwa serikali nikuhakikisha wanawaelekeza mabalozi wetu huko nje wakusanye taarifa za maeneo zilipo pasipoti zetu na kuwajulisha mamlaka za nchi hizo kuchunguza na kuchukua hatua
Pili, Serikali iwekeze kulinda watanzania waliopo nje ya nchi. Tusiwaone kama wahalifu huku tukikumbatia wageni Nchini kwetu
Tatu, pasipoti zinapotolewa na Uhamiaji zikabidhiwe kwa muhusika. Watanzania wengi wanaingizwa matatani na mawakala wanaosafirisha wafanyakazi nje. Mawakala hawa ndio wanaokabidhiwa pasipoti badala ya pasipoti kukabidhiwa kwa wamiliki.
Nne, serikali ihakikishe wafanyakazi hasa wa kazi za ndani wanaposafiri wanakuwa na mikataba.
Tano, pasipoti zote zilizopotea au zinazoshikiliwa na waajria huku zikiwa zimeripotiwa kupotea zitangazwe adharani Dunia ili kuiwekea ulinzi na uaminifu pasipoti yetu.
Sita, kila Mtanzania anayerejea nchini akiwa amepoteza pasipoti alazimishwe kueleza alipoacha pasipoti yake na huyo anayeishikilia huko nje atafutwe na kuchukuliwa hatua. Uzuri tuna mahusiano mazuri na Mataifa mengi. Hii itawafanya waajiri na wahalifu kuacha kutumia weaknes ya uelewa wa watu wetu kujinufaisha
Nasema haya kwa sababu nina uzoefu, kuna kipindi miaka ya nyuma tuliruhusu pasipoti zetu zikawa vulnerable matokeo yake ilikuwa ukisafiri nje na Pasipoti ya Tanzania unapekuliwa hadi kufikia unavuliwa nguo na hakuna tamko lililotolewa na serikali.
Hali hii inayoendelea ya mabalozi wetu kupuuzia hadhi ya pasipoti yetu huko nje itatupekea watanzania kuanza kupata matatizo tunaposafiri, tinapotafuta vibali, tunapotaka kufungua akaunti za fedha au tunapotaka kutumia pasipoti zetu kama vitambulisho.
TUSIPOILINDA KWA GHARAMA KUBWA PASIPOTI YETU TUKAACHA WATU WAZITUMIE WANAVYOTAKA TUNAKWENDA KUUMIA. MATAIFA YOTE YANAYOPIGANIA DIPLOMASIA YA UCHUMI WANAIPA HESHIMA PASIPOTI.
Mshahara mzuri kuliko mwajiriwa mwenye masters bongo.Wakati mwingine tujaribu kufikiri nje ya box kidogo, hivi kweli Mtanzania mwenye uelewa safi na akili timamu kabisa unaweza kukurupuka na kwenda Uarabuni kufanya kazi za ndani kweli??? Ina maana kwamba habari mbaya za wahanga mbalimbali ambao wamekuwa wakifanyiwa madhila huko Uarabuni hajawahi kuzisikia kweli??
Sheria za kiislam haziruhusu kumtendea mtu yeyeto mabaya hao ni mafirauni tu hawaijui dini.Hivi wewe unaelewa kweli utawala wa kiimla ambao upo ktk nchi za Kiarabu?? Unafahamu mfumo wa utawala wa Kiislamu unafuata misingi ya Sheria za Kiislamu, yaani "SHARIA."?? Unafikiri ni kwa nini watu kama Jamal Khashogi waliuawa au mtu kama Malala Yousafzai alimininiwa risasi kama tembo wa msituni? Unazijua sababu zake za watu hawa kufanyiwa hivyo?
Napinga hoja ya Passport ya Tanzania kuuzwa ughaibuni.. hilo haliwezekani popote kwa sasa.Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.
Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.
Wanadai wakiripoti ubalozini majibu wanayopewa ni kwamba serikali haikuwatuma waende huko hivyo watajua namna ya kurejea Nchini. Baadhi wanafanya mawasiliano wakiwa tayari wameumizwa kingono au kupigwa au kudhulumiwa haki zao.Hali hiyo ipo sana Malaysia, Uturuki, China, Qatary, Oman, Dubai na Iraq.
Chakushangaza, wanapofanikiwa kutoroka kwa waajiri na kupata wasamaria wema wakuwasaidia hifadhi ili waweze kupata pasipoti za karatasi zakurejea Nchini maafisa ubalozi wengi wanadaiwa kutokufanya yafuatayo
1. Hakuna taarifa za familia inayoshikilia pasipoti zinazochukuliwa badala yake wanalazimisha watanzania waseme wamepoteza pasipoti kitu ambacho siyo kweli.
2. Wanakataa kuwaandikia mamlaka za nchi husika wafanye uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria za wanaohusika kuficha pasipoti za Tanzania
3. Wanapoambiwa kwamba baadhi ya pasipoti zinauzwa kwa baadhi ya makundi ya kihalifu waweze kuchunguza hakuna hatua wanazochukua.
4. Wakati mwingine wanaomba kuwasiliana na mamlaka za Tanzania kuhusu hali hii lakini wanadai, ukirudi nyumbani utaenda kusimulia ndugu zako. Unajiuliza watanzania wasipokwenda kwenye haya Mataifa wao watapata kazi yakufanya? Je wageni wa Mataifa hayo huku kwetu balozi zao zinawadharau hivi?
5. Pamoja na madhila wanayopitia wakirejea Tanzania wanahojiwa na kuwajibishwa kama waalifu wakati ukweli ni kwamba wao ni wahanga tu na serikali ilipaswa kuwawajibisha waliowaajiri kwani mikataba ya ajira wanakuwa nayo
Kwa taarifa za vijana hawa wanasema zaidi ya pasipoti elfu tano zinashikikiliwa na waajiri, wanigeria na wahalifu wengine kutoka Afrika magharibi. Siyo hivyo tu bali pasipoti hizo zinatumika na wageni kufungulia akaunti nakuzituma akaunti hizo kuweka fedha za kihalifu kukwepa kukamatwa(huko kwa wenzetu wanashindwa kutofautisha kama tunavyokwama kuwatofautisha wachina hapa bongo).
Wito wangu kwa serikali nikuhakikisha wanawaelekeza mabalozi wetu huko nje wakusanye taarifa za maeneo zilipo pasipoti zetu na kuwajulisha mamlaka za nchi hizo kuchunguza na kuchukua hatua
Pili, Serikali iwekeze kulinda watanzania waliopo nje ya nchi. Tusiwaone kama wahalifu huku tukikumbatia wageni Nchini kwetu
Tatu, pasipoti zinapotolewa na Uhamiaji zikabidhiwe kwa muhusika. Watanzania wengi wanaingizwa matatani na mawakala wanaosafirisha wafanyakazi nje. Mawakala hawa ndio wanaokabidhiwa pasipoti badala ya pasipoti kukabidhiwa kwa wamiliki.
Nne, serikali ihakikishe wafanyakazi hasa wa kazi za ndani wanaposafiri wanakuwa na mikataba.
Tano, pasipoti zote zilizopotea au zinazoshikiliwa na waajria huku zikiwa zimeripotiwa kupotea zitangazwe adharani Dunia ili kuiwekea ulinzi na uaminifu pasipoti yetu.
Sita, kila Mtanzania anayerejea nchini akiwa amepoteza pasipoti alazimishwe kueleza alipoacha pasipoti yake na huyo anayeishikilia huko nje atafutwe na kuchukuliwa hatua. Uzuri tuna mahusiano mazuri na Mataifa mengi. Hii itawafanya waajiri na wahalifu kuacha kutumia weaknes ya uelewa wa watu wetu kujinufaisha
Nasema haya kwa sababu nina uzoefu, kuna kipindi miaka ya nyuma tuliruhusu pasipoti zetu zikawa vulnerable matokeo yake ilikuwa ukisafiri nje na Pasipoti ya Tanzania unapekuliwa hadi kufikia unavuliwa nguo na hakuna tamko lililotolewa na serikali.
Hali hii inayoendelea ya mabalozi wetu kupuuzia hadhi ya pasipoti yetu huko nje itatupekea watanzania kuanza kupata matatizo tunaposafiri, tinapotafuta vibali, tunapotaka kufungua akaunti za fedha au tunapotaka kutumia pasipoti zetu kama vitambulisho.
TUSIPOILINDA KWA GHARAMA KUBWA PASIPOTI YETU TUKAACHA WATU WAZITUMIE WANAVYOTAKA TUNAKWENDA KUUMIA. MATAIFA YOTE YANAYOPIGANIA DIPLOMASIA YA UCHUMI WANAIPA HESHIMA PASIPOTI.
ila wavaa kobasi taabu kwelikweliNimegundua kitu, ukiwa mtumwa wa dini , unakuwa huna akili, ndo mana wazungu na waarabu wametumia dini kututoa akili,
Ungekatwa kichwa.HV hkn namna ukaua muarabu mmoja Kisha ukasepa au kishas andaa mazingira ya kusepa
Mm ningekuwa huko siku nyingi ningewalisha sumu familia nxima na kutokomeaaa