Watanzania walitamani kupata kiongozi Dikteta ili Mambo yaende-Zitto Kabwe

ZItto anasema kuna mambo mazuri tuliyapata awamu ya tano na yanatakiwa kuendelezwa. Amekuwa msema kweli kuliko wanaopa "Kusema kweli daima."
 
Akiwa katika mahojiano na clouds,Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda,dunia hii Mungu atunusuru na makasuku,leo anaongea hili kesho anaongea Lile,
Ni kawaida ya watu wanaopenda kusema uongo kusahau walichokisema zamani !!
 
Nafikiri huu ndio uungwana,nanukuu "yapo maeneo taifa lili gain" hayupo mtu asiyejua anachokisema Zito,Kama mwanadamu yapo maeneo kwa nafasi aliyonayo alifanya vizuri na yapo maeneo alifanya tofauti.
Kwani sisi yote tunafanya mazuri tu siku zote kuanzia kwenye level zetu za kawaida za maisha?
Kama tunge hold mazuri aliyoyafanya na kuyaendeleza mfano eneo la utumishi wa umma na huduma zinazotolewa unaweza kumuelewa kwa sehemu ndugu Zito japo na yeye kama mwanadamu kama sisi wote ndio vile tena.
 
Sijui kwa Upande wa watu wengine
Mi naona mambo yapo vile vile
Unajua inawezekana ni vile tunavyoyaangalia mambo
Mi siioni tofauti yoyote ile zaidi ya kuwa maisha yanaenda tu kama kawa
 
Nafikiri huu ndio uungwana,nanukuu "yapo maeneo taifa lili gain" hayupo mtu asiyejua anachokisema Zito,Kama mwanadamu yapo maeneo kwa nafasi aliyonayo alifanya vizuri na yapo maeneo alifanya tofauti.
Kwani sisi yote tunafanya mazuri tu siku zote kuanzia kwenye level zetu za kawaida za maisha?
Kama tunge hold mazuri aliyoyafanya na kuyaendeleza mfano eneo la utumishi wa umma na huduma zinazotolewa unaweza kumuelewa kwa sehemu ndugu Zito japo na yeye kama mwanadamu kama sisi wote ndio vile tena.
Ndio vile tena😂😂😂
 
Usitake kulimit mazuri ya Magufuli kwenye utumishi wa umma tu. Kama ubora wa Magufuli ungeishia kwenye utumishi wa umma tu asingekuwa na sifa ya kuwa miongoni mwa maRais bora kabisa Tanzania iliwahi au itakuja kupata.

Sifa kubwa ya Rais Magufuli ni kuwa aliongoza kwa maono na fikra. Kila alichokuwa akikifanya kiliongozwa na msukumo fulani wa dhana, mfano, Tanzania huru na kujitegemea, Tanzania imara kitaasisi, n.k. Hata yale yaliyokuwa yakionekana kama "mabaya ya Magufuli" yalitafsirika hivyo tu kwa sababu alikuwa akiongoza nchi ambayo raia wake wengi wana akili za kumbi kumbi, wanaopenda kuridhika leo kuliko kuitazama kesho.
 
Angalia hii nukuu from The Bible,the first book of The Bible,the book of Genesis;

And Elohim said unto him, Shimcha is Ya'akov; shimcha shall not be called any more Ya'akov, but Yisroel shall be shemecha; and He called shmo Yisroel. |11| And Elohim said unto him, I am El Shaddai; be fruitful and multiply; a Goy (nation) and a Kehal Goyim shall be from thee, and Melechim shall come out of thy loins;

Hii nukuu,wote tunaifahamu,Mungu anasema,"Wewe jina lako halitakuwa Jacob,kuanzia sasa utaitwa 'Israel'"
Mataifa mawili yatatokana na wewe,Goy nation na Kehal nation.

Sasa,"Goy", ndilo neno la Kiyahudi ambalo lina maana "gentiles", yaani,watu ambao siyo Wayahudi. "Goy", maana yake "ng'ombe",yaani hayo ndiyo maoni ya Wayahudi,kwamba Hawa watu wa Mataifa,bana,ni mabwege kama ng'ombe,iliyobaki tuwadhulumu hela zao,basi.

Kehal ( kahal)nation,maana yake,a nation which is very organized,very disciplined. Ndio imekuwa maisha ya Wayahudi throughout the centuries,wamekuwa wanaishi katika hii Kahal system,ambayo wanaendesha maisha yao ki Mafia,they are very strict with themselves and with others.

Na ingawa Kahal system siku hizi imekwisha,kwa sababu Ile Kahal system ilikuwepo Eastern Europe,Wahayudi mpaka leo wanaongoza maisha yao kwa hii Kahal System. Kahal system ilikuwa no system of autonomy and self government ya Wayahudi walipokuwa Eastern Europe.

In brief,Wayahufi wanaita nidhamu ndio msingi wa maendeleo.

Pale ameandika "Kehal Goyim",kwa hiyo nadhani ana lengo la kuwafundisha Wayahudi kuwa disciplined cows.
 
Jiwe alikuwa dikteta,. Aliiba, aliua ,aliteka na kupora.

Tuseme wote, never and never again.
 
Wanajileta tu, ukatili ni lazima ili kuamsha bara la Afrika. Kuna kiongozi mmoja enzi za mwalimu alisema *ujifanye kama kichwa cha mwendawazimu ili u- dictate mambo , Afrika isonge mbele" JPM alijitahidi ila basi tena, watu wazuri hawadumu.
 
Usitake kulimit mazuri ya Magufuli kwenye utumishi wa umma tu. Kama ubora wa Magufuli ungeishia kwenye utumishi wa umma tu asingekuwa na sifa ya kuwa miongoni mwa maRais bora kabisa Tanzania iliwahi au itakuja kupata.

Sifa kubwa ya Rais Magufuli ni kuwa aliongoza kwa maono na fikra. Kila alichokuwa akikifanya kiliongozwa na msukumo fulani wa dhana, mfano, Tanzania huru na kujitegemea, Tanzania imara kitaasisi, n.k. Hata yale yaliyokuwa yakionekana kama "mabaya ya Magufuli" yalitafsirika hivyo tu kwa sababu alikuwa akiongoza nchi ambayo raia wake wengi wana akili za kumbi kumbi, wanaopenda kuridhika leo kuliko kuitazama kesho.
Nikama vile hukuelewa nilichoandika,sijasema liko eneo,badala yake nimesema yapo maeneo,nimetaja utumishi niki fanya reference ya alichosema Zito.Au ulitaka nianze kutaja ambayo Zito hajayataja?
Soma katikati ya mistari utanielewa.
Halafu mimi sio mwanasiasa lakini kazi za Magufuli naziheshimu kinyama kuna maeneo mahususi hii nchi ilienda mbali,lakini yapo maeneo pia alifanya tofauti yeye hakuwa malaika au wewe hujui na huo ndio ubinadamu.
 
Wanajileta tu, ukatili ni lazima ili kuamsha bara la Afrika. Kuna kiongozi mmoja enzi za mwalimu alisema *ujifanye kama kichwa cha mwendawazimu ili u- dictate mambo , Afrika isonge mbele" JPM alijitahidi ila basi tena, watu wazuri hawadumu.
Wema hawana maisha!
 
askofu wa kubonyeza vifua vya warembo!
Mnamchafua tu mzee wa watu. Mbona hatujawahi kusikia? Kulikuwa na kesi moja tu ya kusingiziwa kuwa anakula mke wa mtu lkn alishindwa na akawa cleared kuwa hajala mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom