Watanzania walitamani kupata kiongozi Dikteta ili Mambo yaende-Zitto Kabwe

Watanzania walitamani kupata kiongozi Dikteta ili Mambo yaende-Zitto Kabwe

Jiwe alikuwa dikteta,. Aliiba, aliua ,aliteka na kupora.

Tuseme wote, never and never again.
Sasa wewe hasira zako za kubutuliwa na Magufuli unataka kila mtu awe nazo?

Uache kujipendekeza kwa wanaume kenge we
 
Jiwe alikuwa dikteta,. Aliiba, aliua ,aliteka na kupora.

Tuseme wote, never and never again.
Kuna raisi unayemjua wewe ambaye hayo mambo hajawahi kuyafanya? Nitajie hapa

Unapokuwa kiongozi kuna watu wataanza kuleta interests zao binafsi kwenye serikali yako na kukulazimisha as if wao ni muhimu kuliko raia wengine. Na hawa watu wanaweza kukutengenezea hata zengwe kwenye mitandao, watapotosha mambo yako, watafanya kila aina ya vimbwanga ili ujishushe kwao.

Wewe utawafanyaje?! Utawatazama wakikukosea adabu wazi wazi na kupuuzia warnings unazowapa kila wanapovuka mipaka.
 
Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.

View attachment 2523907
Zitto ni maf tu .....watanzania tunataka rais dictator mzalendo kama jpm siyo huyu nguchiro mvaa mashungi
 
Usitake kulimit mazuri ya Magufuli kwenye utumishi wa umma tu. Kama ubora wa Magufuli ungeishia kwenye utumishi wa umma tu asingekuwa na sifa ya kuwa miongoni mwa maRais bora kabisa Tanzania iliwahi au itakuja kupata.

Sifa kubwa ya Rais Magufuli ni kuwa aliongoza kwa maono na fikra. Kila alichokuwa akikifanya kiliongozwa na msukumo fulani wa dhana, mfano, Tanzania huru na kujitegemea, Tanzania imara kitaasisi, n.k. Hata yale yaliyokuwa yakionekana kama "mabaya ya Magufuli" yalitafsirika hivyo tu kwa sababu alikuwa akiongoza nchi ambayo raia wake wengi wana akili za kumbi kumbi, wanaopenda kuridhika leo kuliko kuitazama kesho.
Hakika !!
 
Back
Top Bottom