Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Ni kawaida ya watu wanaopenda kusema uongo kusahau walichokisema zamani !!Akiwa katika mahojiano na clouds,Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda,dunia hii Mungu atunusuru na makasuku,leo anaongea hili kesho anaongea Lile,
Ndio vile tena😂😂😂Nafikiri huu ndio uungwana,nanukuu "yapo maeneo taifa lili gain" hayupo mtu asiyejua anachokisema Zito,Kama mwanadamu yapo maeneo kwa nafasi aliyonayo alifanya vizuri na yapo maeneo alifanya tofauti.
Kwani sisi yote tunafanya mazuri tu siku zote kuanzia kwenye level zetu za kawaida za maisha?
Kama tunge hold mazuri aliyoyafanya na kuyaendeleza mfano eneo la utumishi wa umma na huduma zinazotolewa unaweza kumuelewa kwa sehemu ndugu Zito japo na yeye kama mwanadamu kama sisi wote ndio vile tena.
Ndio vile tena tulianza kuzoea kuona watu wanawajibika maofisini kweri kweri !! Lakini sasa ndio hivyo tena !!Ndio vile tena😂😂😂
Usitake kulimit mazuri ya Magufuli kwenye utumishi wa umma tu. Kama ubora wa Magufuli ungeishia kwenye utumishi wa umma tu asingekuwa na sifa ya kuwa miongoni mwa maRais bora kabisa Tanzania iliwahi au itakuja kupata.Nafikiri huu ndio uungwana,nanukuu "yapo maeneo taifa lili gain" hayupo mtu asiyejua anachokisema Zito,Kama mwanadamu yapo maeneo kwa nafasi aliyonayo alifanya vizuri na yapo maeneo alifanya tofauti.
Kwani sisi yote tunafanya mazuri tu siku zote kuanzia kwenye level zetu za kawaida za maisha?
Kama tunge hold mazuri aliyoyafanya na kuyaendeleza mfano eneo la utumishi wa umma na huduma zinazotolewa unaweza kumuelewa kwa sehemu ndugu Zito japo na yeye kama mwanadamu kama sisi wote ndio vile tena.
Useme na nani mbwa wewe!?? Ulikufa peke yakoJiwe alikuwa dikteta,. Aliiba, aliua ,aliteka na kupora.
Tuseme wote, never and never again.
Ikulu kulikuwa na shetani ......askofu Mwingira.Useme na nani mbwa wewe!?? Ulikufa peke yako
Nawewe ukamuamini mwingira.Ikulu kulikuwa na shetani ......askofu Mwingira.
Nikama vile hukuelewa nilichoandika,sijasema liko eneo,badala yake nimesema yapo maeneo,nimetaja utumishi niki fanya reference ya alichosema Zito.Au ulitaka nianze kutaja ambayo Zito hajayataja?Usitake kulimit mazuri ya Magufuli kwenye utumishi wa umma tu. Kama ubora wa Magufuli ungeishia kwenye utumishi wa umma tu asingekuwa na sifa ya kuwa miongoni mwa maRais bora kabisa Tanzania iliwahi au itakuja kupata.
Sifa kubwa ya Rais Magufuli ni kuwa aliongoza kwa maono na fikra. Kila alichokuwa akikifanya kiliongozwa na msukumo fulani wa dhana, mfano, Tanzania huru na kujitegemea, Tanzania imara kitaasisi, n.k. Hata yale yaliyokuwa yakionekana kama "mabaya ya Magufuli" yalitafsirika hivyo tu kwa sababu alikuwa akiongoza nchi ambayo raia wake wengi wana akili za kumbi kumbi, wanaopenda kuridhika leo kuliko kuitazama kesho.
askofu wa kubonyeza vifua vya warembo!Ikulu kulikuwa na shetani ......askofu Mwingira.
Wema hawana maisha!Wanajileta tu, ukatili ni lazima ili kuamsha bara la Afrika. Kuna kiongozi mmoja enzi za mwalimu alisema *ujifanye kama kichwa cha mwendawazimu ili u- dictate mambo , Afrika isonge mbele" JPM alijitahidi ila basi tena, watu wazuri hawadumu.
Mnamchafua tu mzee wa watu. Mbona hatujawahi kusikia? Kulikuwa na kesi moja tu ya kusingiziwa kuwa anakula mke wa mtu lkn alishindwa na akawa cleared kuwa hajala mke wa mtu.askofu wa kubonyeza vifua vya warembo!