haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine.
Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa.
In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata mtu binafsi, not otherwise.
Wakipiga kelele kidogo, linatokea la kutokea la Simba na Yanga, wote wanahama humo.
Watu wakishashiba kisha ukawapa burudani bas ushawamaliza, and that is more effective kwa watanzania.
Ni hayo tu.