Magufuli ndiye aliyetufukisha hapa kwa kuwa ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kukataza shughuli za vyama, ndiye aliyethubutu kumshambulia mbunge Tundu Lissu akiwa bungeni mwaka 2017. Na ndiye aliyeanzisha kikundi cha kuteka na kuua ambapo mmoja wa watu aliyeuliwa na yeye mwenyewe ni Ben SaananeKwa Nini ulikuwa mstari wa bele katika kumkosoa Magufuli na utawala wake lakini serikali ya awamu hii unaisapoti japo inafanya makosa yake yake kama ya Magu ?
Na siku watakayopuuza tu kitawalamba 🤣🤣🤣 walah namuonea huruma huyu mama!Ni mbinu za kivita kumchosha kwanza adui, subiri,
Hata hivyo tumesimamisha shughuli zote
Unasherehekea uchumi kusimama na jiji kupata hasara kwa sababu tu ya ego ya kisiasa? Huo si ushindi, huo ni uhujumu uchumi na umasikini wa kujitakia! Kuwasifu wanaharakati wawili walioko nje ya nchi huku wakichezea jasho na riziki ya mama ntilie na dereva daladala wa Dar ni upofu wa akili. Unaonya nani wakati unashangilia njaa ya wananchi? Amani bila uzalishaji ni utumwa, lakini ghasia si suluhisho. Kama unadhani kufunga maduka ni sifa, ole wenu siku njaa itakapogonga milango yenu! Hamna ushindi hapa, mmebaki kuwa mateka wa fikra za watu walio salama ughaibuni.Amani? Nchi imesimamishwa, Dar imesimama, uchumi umelala, Leo ni hasara tupu, hakuna biashara imefanyika, hicho ndio unaita Amani!?
Watu wamejifungia ndani badala ya kuwa nje wakitengeneza pesa, wewe unaita Amani?!
Wanaharakati wameshinda! Wameweza, kusimamisha, uchumi wa Dar!
Ccm ingeshinda kama Mambo yangeenda kama siku zote, watu kibao, biashara zinaendelea, sasa, ni kinyume, Lita za mafuta zote ambazo zingenunuliwa Leo, ni hasara! Kila, Dara Dara huleta 150K! Kwa siku! Pesa, ngapi haijaingia kwenye mfumo?! Ccm mmeoza akili!
Wanaharakati wawili wapo nje ya nchi wameweza ku criple jiji kubwa la dar kwa siku nzima, ccm mmasema mmeshinda!
Aliyewaroga hata kaburi lake harijulikani
Kwani lengo ni kusimamisha shughuli au ni kuandamana? Si mlisema mtatoka kwenda kuikomboa Tanganyika!!Ni mbinu za kivita kumchosha kwanza adui, subiri,
Hata hivyo tumesimamisha shughuli zote
Kutumia hofu ya wananchi na uwepo wa silaha kutishia vita ya uasi ni uhaini unaohatarisha maisha ya mamilioni ya watanzania! Askari barabarani wanalinda amani isivunjwe na wahuni, sio kutisha raia. Kuchochea uasi kwa hasira za kisiasa ni kuvuka mstari mwekundu. Serikali inalinda nchi; ole wenu mnaowaza kumwaga damu, mwisho wenu utakuwa mbaya sana. Acha kutishia usalama wetukuchagua amani wananchi wangeendelea na mishe mishe zao kama hakuna kitu kinachoendelea, amani ipi barabarani askari polisi na jeshi la wananchi wamezagaa na bunduki? watu wapo nyumbani kwa hofu sio kwa kutaka amani, na kwanini hali hii iwe endelevu ya kutishia maandamano? serikari ijitafakari, kuna leo na kesho ikitokea wananchi tumeshikishwa silaha vita ya uasi itatokea
Muulize huyo muandamanaji yupo wapi muda huu..?🤣Kwani lengo ni kusimamisha shughuli au ni kuandamana? Si mlisema mtatoka kwenda kuikomboa Tanganyika!!
Sisi leo ni sabasaba, tunapumzika, nyie si mtoke tu