Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.
Wapumbavu nyie mnataka kuvunja kioo Ili msione uchafu wenu
Bahati mbaya vioo vya majirani navyo vimewaonuesha uchafu wenu
 
Mjuba wakati mwingine muwe na haya kuandika propaganda, wengine tunataka maridhiano kuliko kukaza shingo kiasi hiki huku unaona kabisa kuna makosa yalitokea
 
Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.
Screenshot_20251120-093343.jpg
 
Watanzania wanasema wapo bega kwa bega na Rais wetu Mpendwa na hawapo tayari kugawanywa wala kuchochewa kufanya vurugu na kuleta machafuko Nchini
 
Mnavyoendelea kujitekenya inaonyesha you guys don't have a fck clue,kwa tension iliyopo mtaani nyie ccm
 
Abduli ndo ametoka kukupaka futa na kukuingizia fc libolo Kunako tigo
Sasa una weweseka kuandika pumba
 
Ukichaa kama huu anaupata mbwa akiwa kwenye siku zake. Vipi kwako wewe binadamu uliyefika menopause? 🤡
 
Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.

Ukikataa UKWELI utakuwa ni MJINGA.
 
Vipi hawa nao ni CNN?
Screenshot_20251106-163332.jpg
Screenshot_20251103-210804.jpg
Screenshot_20251106-163332.jpg
downloadfile-3.png
 
Attachments

  • Screenshot_20251103-231810.jpg
    Screenshot_20251103-231810.jpg
    41.3 KB · Views: 21
Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.
unajitia dole la mkyundu alafu unawaambia ni pafyumu
 
Yaani unakubali kujidhalilisha hivi kwa ajili ya malipo kiduchu uliyolipwa kuupotosha umma! Njaa ni mbaya ukiiendekeza. Mungu yupo anakuona na hutozikwa bila kulipwa kwa haya maujinga yako ya kupotsha kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom