Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.

Ona hili shetani pumb.avu lizanzibari lilichoandika!!

Mashetani, kama hili lililoleta hii mada, tuyapuuze. Jiandaeni kwenda kwenu, mkafanye huo ushetani.
 
Hivi kuna option JF ya kublock mtu usiweze kuona kabisa na kujua kama kaanzisha uzi?
Kuna nyuzi zitatia hasira, tuzingetamani kuziona..
 
Mwaka huu manyanga'u hii kandarasi ya kufukia uongo mtaikataa tu.

Teknolojia inazidi kuwaacha uchi.

Hatimaye taratibu huyu muuaji aliyeua watanganyika maelfu sura yake iko karibu kujulikana
IMG-20251125-WA0001.jpg
20251104_030225.jpg

Mlifikiri mtaua watu na hatutowajua.

Kapokeeni posho mje mkanushe maana ndio kazi pekee mliyobaki kwa sasa.

Safari ya kibibi muuaji ICC imeiva kuanzia jana ni suala la muda.
 
Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo.

Uchunguzi wangu niliofanya kuanzia Mutukula hadi Mbamba bay nimegundua wananchi wengi wana hasira kali sana dhidi ya Larry Madowo. Ninawasihi watanzanjia tupunguze hasira kwa sababu Madowo ni kijana wetu toka Kenya ambaye aliamua kwa hiari kujivua uanaume wake ili kuwatumikia mabwana zake wa CNN.

Hizo hasira tuzielekeze kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kujiletea maendeleo.

Kwa dhati ninampongeza msemaji wa serikali ndugu Msigwa kwa ufafanuzi alioutoa.
Watanzania wapi hao?
Kmme
 
Ticket za kwenda ICC mmeshanunua?
 
Ile Siyo TBC ndg mwanahabari anapewa maswali na Source amuulize na source anasifu Hilo swali zuri kweli sikutegemea kuulizwa 🚮🚮
 
Back
Top Bottom