Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN



Ona hili shetani pumb.avu lizanzibari lilichoandika!!

Mashetani, kama hili lililoleta hii mada, tuyapuuze. Jiandaeni kwenda kwenu, mkafanye huo ushetani.
 
Hivi kuna option JF ya kublock mtu usiweze kuona kabisa na kujua kama kaanzisha uzi?
Kuna nyuzi zitatia hasira, tuzingetamani kuziona..
 
Mwaka huu manyanga'u hii kandarasi ya kufukia uongo mtaikataa tu.

Teknolojia inazidi kuwaacha uchi.

Hatimaye taratibu huyu muuaji aliyeua watanganyika maelfu sura yake iko karibu kujulikana
Your browser is not able to display this video.

Mlifikiri mtaua watu na hatutowajua.

Kapokeeni posho mje mkanushe maana ndio kazi pekee mliyobaki kwa sasa.

Safari ya kibibi muuaji ICC imeiva kuanzia jana ni suala la muda.
 
Watanzania wapi hao?
Kmme
 
Ticket za kwenda ICC mmeshanunua?
 
Ile Siyo TBC ndg mwanahabari anapewa maswali na Source amuulize na source anasifu Hilo swali zuri kweli sikutegemea kuulizwa 🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…