FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ndiyo maana wanapewa kampuni ya nje.Wewe unaelewa ninachokuambia Mali ya Umma unaelewa namaanisha nini? Shamba la Bibi kila mtu anajichotea tu na hafanywi kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana wanapewa kampuni ya nje.Wewe unaelewa ninachokuambia Mali ya Umma unaelewa namaanisha nini? Shamba la Bibi kila mtu anajichotea tu na hafanywi kitu
Shamba la Bibi limerudi tena kwa hio Ni mwendo wa kujivunia tu unavyotaka kikubwa ukae position nzuriNdiyo maana wanapewa kampuni ya nje.
Mnakosea mnapoleta ubaguzi kwenye biashara. Kwa hiyo ungeona Wazungu wemeshinda zabuni ungesikia raha?Unaelewa kulinda rasilimali za nchi? Kwa hiyo wewe unaamini zabuni kutangazwa kwenye magazeti ndio ushindani? Kwamba waarabu unaamini walishinda zabuni au wametumia connection
UmepuuKwa nauli za mwendokasi, kampuni ya usafirishaji mikoani ikijiendesha Kwa namna hiyo inakufa hapo hapo. Basi la zaidi ya milioni 500 linajiendesha Kwa nauli ya 1000 unadhani Kuna mmiliki hajui hiyo hasara?
mkataba wao unafanana na wetu?Mnakosea mnapoleta ubaguzi kwenye biashara. Kwa hiyo ungeona Wazungu wemeshinda zabuni ungesikia raha?
Pesa ziko Uarabuni ndiyo maana hata Waingereza wenyewe wame surrender clubs zao za EPL kwa waarabu. Angalia Newcastle, Mancity, Arsenal etc.
Hata bandari ya Portsmouth pale Uingereza inaendeshwa na DP WORLD, wewe ni nani udharau waarabu
Masuala ya mkataba ni endelevu na yanaongeleka. Hata mkataba wa DP WORLD tulioingia ni tofauti na IGA ambayo Mwabukusi na Lissu walishadadia uwongomkataba wao unafanana na wetu?
Tena mno daladala zimejaa gari mbovu za safari fupiUendeshaji wa Mabasi ya mikoani ni tofauti na mabasi ya mjini.
Hiyo Zabuni ilitangaziwa wapi?Zabuni ya wazi ilitangazwa kwenye vyombo vya habari. Waulize hao wasafirishaji wa ndani kama waliona au hawakuiona kabla hujaanza kulaumu kama vyama vya upinzani.
Basi Linaweza kuwa hata tshs.1bln, nauli ikawa tshs500 bado ikakulipa.Kwa nauli za mwendokasi, kampuni ya usafirishaji mikoani ikijiendesha Kwa namna hiyo inakufa hapo hapo. Basi la zaidi ya milioni 500 linajiendesha Kwa nauli ya 1000 unadhani Kuna mmiliki hajui hiyo hasara?
Daladala zote mbovu karibu 95% zinamilikiwa na askari uchwara.Tena mno daladala zimejaa gari mbovu za safari fupi
Na usimamizi wake pasua kichwa hata uwe na daladala mbili tu ndio maana sio rahisi kukuta mijini tajiri mwenye daladala mfano mia hawezi usinamizi wake
Safari ndefu wanaweza.Ndio maana matajiri wakubwa hawataki kujitosa biashara ya daladala mijini wanaachia waganga njaa na husema wazi hailipi upotezaji muda kuwa huwezi tajirika kwa biashara za daladala
Usafiri uko siku nyingi na wazi kwa yeyote hao matajiri wakubwa wa.mabasi ya mikoani wala hawajawahi kuwa hata na wazo au mpango wa kununua daladala za kusafirisha watu mijini na hawana mpango
Waombe waoneshe huo uwezo wao.Uzawa sio kigezo Cha ufanisi.Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria DAR es salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote.
Kafulila na wenzake walipoambiwa kubinafsisha wakakimbilia kwenda kutafuta wageni kwa kigezo kwamba Watanzania hawana uwezo wakufanya hizi kazi. Naomba kuuliza kuna mgeni anamiliki dala dala au zinimilikiwa na Watanzania ? Kuna kampuni ya mabasi ya wageni au makampuni haya ni ya watanzania ?
Watumishi wa umma kama ninyi biashara imeqashinda mnaamini kila Mtanzania biashara imemshinda? Leo hii wapo watanzania wanaweza kukopesheka magari huko china wakalipa taratibu sawa na ambavyo huyu Mwarabu anakwenda kufanya.
Kwanini tufikie kukabidhi kila kitu kwa wageni? Tuambieni kuna ugumu gani wa kusimamia mradi wa Mwendokasi hadi tukamtafute RAIA wa kigeni aje kutuongoza? Tuliomba kura zakubinafsisha kwa wageni kila kitu?
Kwa kweli inasikitishaSikutegemea Mradi wa kubeba abiria DAR es salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote.