Watanzania wamemtupa Rose Muhando porini, ameokotwa na Wakenya

Watanzania wamemtupa Rose Muhando porini, ameokotwa na Wakenya

Cjaelewa tumemtupa vp Kwan kwenye matamasha yake walikua watu wanaingia bure
Utaelewa tu mkuu. Ni kwamba wakati Rose alipopata masaibu yaliyomkumba watanzania hawakuonesha moyo wa kumsaidia hadi alipoenda kuibukia kwa Pastor Ng'ang'a aliyemuombea akapona na leo anapiga kazi vizuri ya kuihubiri injili pale nchini Kenya. Je, wewe unaona walichofanya watanzania kumtelekeza Rose ni kitendo cha kiungwana?
 
Mungu hamtupi mja wake. Hatimaye madam Rose amempata mume wake bora kabisa na handsome:
 
Back
Top Bottom