GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo. Mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Wewe ni wa Thamani sana mbele za Mungu.
 
ungekaa kimya, nina maumivu ya kuuliwa kikatili kwa jamaa zangu halafu unakuja unaandika uharo humu.
 
Phase ijayo tutakuja kuwasalimia nyie machawa
 


Moderators ingekuwa vyema nyuzi za hawa wanaokuja kuleta dhihaka wakati kuna ndugu zetu kibao wameuliwa kinyama mzizuie kwa sasa
 
Anza kujifunza lifestyle nyingine. Kama ulikuwa hujui, siku za maisha ya uchawa sasa zinahesabika!
 
Nanukuu kutoka kwa content creator wa instagram: "...kesi ishakuwa ngumu, kuna mstari mwembamba sana kati ya uchawa na ushoga..." bado najiuliza huyu jamaa kawaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…