GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jibu swali ulitaka aapishiwe wapi? Ulitaka aje kibarazani kwako.
Najua na deal na mpambavu wa taifa

Ila Nakujibu Kwa faida ya machawa wenzako wenye akili walau kidogo

Rais aliyeshinda asilimia 98 na wapiga kura 32m aliogopa Nini kuapishiwa uwanja wa taifa kama wenzake ?
 
Acha kelele zako hapa wewe. Usikalili
 
Back
Top Bottom