GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa majivu na Damu ,wamekataa watanzania kuchinjana wenyewe kwa wenyewe,wamekataa kuharibu historia nzuri ya Taifa letu.

Watanzania wamekataa kuchochewa na wenye nia ovu kulipasua na kulisambaratisha Taifa letu, wamekataa kuwaliza na kuwabubujicha machozi ya huzuni wazee wetu waliolala na kupumzika katika nyumba zao za milele waliolipigania Taifa letu kwa jasho na Damu ili sisi tuwe huru.

Watanzania wameamua kusimama na Taifa letu, watanzania wameamua kusimama kwa ajili ya kulitetea ,kulilinda na kulipigania Taifa letu kwa ajili ya kesho ya watoto na wajukuu zetu. Watanzania wameamua kupigania bendera ya Taifa letu. Watanzania wametambua hakuna Kwa kwenda zaidi ya Hapa Tanzania.

Watanzania wamejua maadui wanataka kutudanganya ili baadaye waje watucheke na kutudharau tutakapokuwa tumasambaratisha Taifa letu. Watanzania wametambua ni Tanzania pekee tuwezapo kutimiza ndoto zetu kwa kila mmoja wetu tukiwa katika amani na utulivu.

Kwa hakika watanzania wote sisi ni washindi na sote tumeshinda na Taifa letu linabakia kuwa salama. Tuna kila sababu ya kujivunia ushindi huu wa kishindo. Tuna kila sababu ya kushikana mikono na kusema sisi sote ni washindi na tusonge mbele kama washindi na kulinda Amani na utulivu wa Taifa letu kwa ustawi wetu sote watanzania.

Watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa,Dini zetu ,makabila yetu ,kanda zetu na jinsia zetu tuna kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Tuna kila sababu ya kumpatia ushirikiano wa kutosha kwa maendeleo ya Taifa letu. Na kwa hakika nawahakikishieni ya Kuwa Rais wetu na Mama yetu Mpendwa hatatuangusha na hakuna atakaye juta..

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna akili, kilaza!
Ephen-
Kwa tamper niliyo nayo mtu kama Lukas MWASHAMBWA kumkata kata kwa mapanga si umii Wala sioni hatia juu yake.

Mambo niliyo yaona na kuya shuhudia..akili haipo sawa..kinacho niuma serikali ipo kimya....mtu anatumiminia RISASI tupo armless na hata hatuandamani?!
 
Wewe ni mpumbavu wa taifa
Rais aliyechaguliwa na mamilion ya wananchi anaapishiwa wapi ?

Mama yako anajuta sana
Maana mtoto mpambavu ni mzigo Kwa mamake
Jibu swali ulitaka aapishiwe wapi? Ulitaka aje kibarazani kwako.
 
Ephen-
Kwa tamper niliyo nayo mtu kama Lukas MWASHAMBWA kumkata kata kwa mapanga si umii Wala sioni hatia juu yake.

Mambo niliyo yaona na kuya shuhudia..akili haipo sawa..kinacho niuma serikali ipo kimya....mtu anatumiminia RISASI tupo armless na hata hatuandamani?!
Unazijua risasi wewe? Embu onyesha hapa namna ulivyo miminiwa hizo risasi na kupata nafasi ya kuja hapa jukwaani.
 
Wewe inabidi utangaziwe death ☠️💀 warranty.

Nipe location nije nikuchinje kwa mkono wangu..

Wewe si unaleta bla bla kwenye maisha na uhai wa watu.
 
Huyu ni wa kuffiraaaa msengeee huyuu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa majivu na Damu ,wamekataa watanzania kuchinjana wenyewe kwa wenyewe,wamekataa kuharibu historia nzuri ya Taifa letu.

Watanzania wamekataa kuchochewa na wenye nia ovu kulipasua na kulisambaratisha Taifa letu, wamekataa kuwaliza na kuwabubujicha machozi ya huzuni wazee wetu waliolala na kupumzika katika nyumba zao za milele waliolipigania Taifa letu kwa jasho na Damu ili sisi tuwe huru.

Watanzania wameamua kusimama na Taifa letu, watanzania wameamua kusimama kwa ajili ya kulitetea ,kulilinda na kulipigania Taifa letu kwa ajili ya kesho ya watoto na wajukuu zetu. Watanzania wameamua kupigania bendera ya Taifa letu. Watanzania wametambua hakuna Kwa kwenda zaidi ya Hapa Tanzania.

Watanzania wamejua maadui wanataka kutudanganya ili baadaye waje watucheke na kutudharau tutakapokuwa tumasambaratisha Taifa letu. Watanzania wametambua ni Tanzania pekee tuwezapo kutimiza ndoto zetu kwa kila mmoja wetu tukiwa katika amani na utulivu.

Kwa hakika watanzania wote sisi ni washindi na sote tumeshinda na Taifa letu linabakia kuwa salama. Tuna kila sababu ya kujivunia ushindi huu wa kishindo. Tuna kila sababu ya kushikana mikono na kusema sisi sote ni washindi na tusonge mbele kama washindi na kulinda Amani na utulivu wa Taifa letu kwa ustawi wetu sote watanzania.

Watanzania wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa,Dini zetu ,makabila yetu ,kanda zetu na jinsia zetu tuna kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Tuna kila sababu ya kumpatia ushirikiano wa kutosha kwa maendeleo ya Taifa letu. Na kwa hakika nawahakikishieni ya Kuwa Rais wetu na Mama yetu Mpendwa hatatuangusha na hakuna atakaye juta..

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kisimi cha mamako na govi la babako mbwa wewe.
 
watu wanachukuliwa nyumbani na wanauawa.
 
Mama yako kapigiwa kura na watz wachache sana awamu hii, huo ndo ukweli!.
Watz walio wengi wamemkataa!.
Amepigiwa kura na wananchi mamilioni kwa mamilioni na ndio maana unaona kwa sasa hali ni shwari
 
Msimamizi mkuu wa kituo msaidizi wake na karani wa uchaguzi ndio waliojaza Yale makopo ya kura ni shame shame Tena mkuu wao anakuja anawaambia mnafanya nin jazen hayo mabobo kura vitu vingine vinatia aibu sana ila ndo mwisho wa ccm nauona
 
Back
Top Bottom