GE2025 Watanzania Wameshinda na wamekataa Kuliangamiza Taifa Lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe juha utakufa kifo kubaya sana subiri moto ukolee tutakuoka kama ndafu.
 


Hakika wewe ni mwili wa mwanadamu ulio nyumba ya shetani. Laana za damu za Watanzania zilizomwagika ziwe juu yenu na shetani mkuu. Damu hizi za watanzania tunamwomba Mungu zisipite bure bila ya laana yake kuwaangukia ninyi mlio na mkataba wa kudumu na shetani wenu.
 
Acha mihemko na kujadili hoja kwa mihemko. Acheni mihemuko na kudanganywa na watu ambao hawawezi kuwasaidia kitu. Hivi wewe na akili zako timamu unaweza vipi andamanishwa barabarani na mtu aliyepo Marekani?
 
Litaahira kama hili ndio linaacha hata huyo Mama achukiwe. Zezeta kama hili kama lingejulikana linakaa wapi basi tungelikamata tumkabidhi huyo Mama kimsukule lake akae nalo lisutupigie kelele.
Wewe ni zaid za mjinga usitejua baya na zuri, Ulaaniwe na wewe siku yakukute
 
Wenye nia mbaya na ovu mmeshindwa na mtaendelea kushindwa kila uchao.
Wewe ni mpumbavu huwezi kuelimika Tena utaendelea kuwa mzigo TU Kwa familia yako

Nia njema ni kuiba kura na kumwaga damu za wananchi wako

Ushinde asilimia 98 uogope kuapishwa hadharani

Upambavu kweli hauna dawa
 
Unaishi wapi mkuu tuje tukupongeze kwa kushinda uchaguzi kwa kishindo
 
Wewe ni mpumbavu huwezi kuelimika Tena utaendelea kuwa mzigo TU Kwa familia yako

Nia njema ni kuiba kura na kumwaga damu za wananchi wako

Ushinde asilimia 98 uogope kuapishwa hadharani

Upambavu kweli hauna dawa
Ulitaka aapishiwe wapi?
 
Ondoa hasira zako hapa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…