Watanzania wamesusia hadi matamasha ya wasanii wa Gospel

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi Waziri wa Vijana bado anaendelea kukutana na Vijana wa Kitanzania? 😁
 
Ukiangalia kiundani.
Siyo suala la wasanii tu.
Kiujumla Nchi ni kama Imesimama.
Kuna fear of unknown Kwa Kila Mtu, hata Viongozi wanayo hii..
Sintofahamu ni kubwa sana. Ni kama vile nchi ipo ipo tu. Binafsi kuna biashara yangu nataka nifungue lakini imenilazimu nisubiri kwanza kuangalia upepo. Ile point ya political instability nilikua naielezea kinadharia kwenye history enzi zs olevel sasa hivi ndio naielewa kivitendo
 
Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii

Pale kwa mwamposa tupageuze kuwa centre ya maandamano kila wanapokutanika wafuasi wake kinuke ....mwamposa ni mmoja wapo wa washenzi wakubwa sana tanzania anatumiwa na waarabu kuwapumbaza wakristo .
 
Bado manabii😎😎
 
Upo sahihi wasiwasi ndio AKILI
 
Yani mtu unaenda kwenye tamasha ambalo Mwamposa yupoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… huwezi kuwa mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…