Watanzania wamshukia gavana wa Kenya baada ya kumkashifu Magufuli

sasa hii post na klip imesaidia kujua hao jinsi wa254 walivyommwaga jamaa.ni bora hata usingeileta tusingejua bwana mkubwa anavyoonekana wa ovyo. na hao walijibu kwa povu wamethibitisha tu kwamba wa255 akili zetu zinafanana tu na nanihii wetu. kazi kweli kweli
 
Hawezi kuwa sawa na bulldozer chezea JPM weye

Sijawahi ona Kenyatta akipiga push ups jukwaani halafu akashashangiliwa

Kweli huko ni [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mazafantaz
 
100% za comments za watanzania zimeonesha hayupo sahihi wapinzani mpo jf tu mitaani huko kila mtu JPM ndo maana mlipigwa 42;1
Nenda maeneo ya wafugaji wanaopakana hifadhi ushuhudie jinsi wafugaji walivyofanywa masikini wa kutupwa kwa amri za hovyo hovyo .

Wafugaji walitakiwa kupigwa faini na kufukuzwa maeneo ya hifadhi. Lakini si huu uonevu wa kuambiwa chapa lapa nyuma geuka, acha kila kitu na mifugo kupigwa minada ya kihuni ya gadala!!
 
Hahaha acha kujifariji mnyuko umeingia haujaingia? JPM ni moto ukimgusa JPM umewagusa watanzania na utasasambuliwa mpaka usitamanike kudadeki
 
Hahaha acha kujifariji mnyuko umeingia haujaingia? JPM ni moto ukimgusa JPM umewagusa watanzania na utasasambuliwa mpaka usitamanike kudadeki

Kwani kashaacha kupiga pushups??
 
Sijawahi ona Kenyatta akipiga push ups jukwaani halafu akashashangiliwa

Kweli huko ni [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mazafantaz
Wewe jianaume kama hipigi pushups basi unapigiwa na mwenzio
 
Wewe jianaume kama hipigi pushups basi unapigiwa na mwenzio

Jibu hoja sio unajibu kama una nye.ge punguza mihemuko

Ulishawahi ona wapi mgombea anapiga pushups jukwaani??
 
Ishu ni kuwa kuna ukweli wa alichokisema? Tuanzie hapo.
 
Jibu hoja sio unajibu kama una nye.ge punguza mihemuko

Ulishawahi ona wapi mgombea anapiga pushups jukwaani??
Nimeiona Tanzania pekee, ikipigwa na the man himself, tinga tinga.
Wewe hata moja huwezi kupiga. Ndio maana wamshangaa anaeweza kupiga kumi na zaidi, kwa kadamnasi, pu$$y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…